Friday, November 09, 2007

SMG kutimkia Angola?
Klabu ya Onze Bravo du Marqui inayoshiriki ligi kuu ya Angola (Girabola) ipo mbioni kumnasa mchezaji Said Maulid 'SMG'.

Hata hivyo SMG hajacheza mechi hata moja msimu huu kutokana na kuwa majeruhi. Mara ya mwisho SMG kuonekana uwanjani ilikuwa mwanzoni mwa mwezi Septemba ambapo alikuwemo katika kikosi cha Taifa Stars kilichopokea kipigo cha 1-0 dhidi ya Msumbiji katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika.

Kwa habari zaidi cheki hapa


No comments: