Saturday, April 11, 2009

Mvua yavunja pambano
Mvua kubwa iliyonyesha katika Manispaa ya Dodoma katika kipindi cha pili kimevunja pambano la ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga na Polisi Dodoma katika Uwanja wa Jamhuri huko Dodoma.
Hadi mchezo huo unavunjika katika dakika ya 75, Yanga ilikuwa inaongoza 1-0 lililofungwa na Vincent Barnabas. Mchezo huo sasa utarudiwa hapo kesho jioni kwenye uwanja huo huo.

1 comment:

Anonymous said...

Polisi Dom 0 Yanga 2
Polisi Moro 3 Prisons 1
Simba 1 Toto 0