Wednesday, October 14, 2009

Changia Yanga kwa M - PESA

Wanachama na mashabiki wa vilabu vya Yanga na Simba sasa wataweza kuvichangia vilabu vyao kwa mpango mpya unaoratibiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom kupitia mpango wake wa M-PESA.
Kwa habari zaidi nenda hapa.

No comments: