Monday, March 29, 2010

Jibu kwa wadau mliojaribu majina ya squad la 1994 katika post iliyopita.

Kutoka kushoto ni:
Joshua Kilale, Ally Yusuph 'Tigana', Willy Mtendawema, Fumo Felician, Keneth Mkapa, James Tungaraza, Suleiman Mkati, Said Mwamba 'Kizota' na Steven Nemes.

Waliochuchumaa kutoka kushoto ni:
Willy Martin, Mohammed Hussein, Nico Bambaga, Jose Ayoub, Sanifu Lazaro, Edibily Lunyamila na Sekilojo Chambua.

No comments: