AFC yaipania Yanga
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania inaendelea leo kwa mechi mbili ambapo Yanga itakuwa ugenini dhidi ya AFC ya Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid huku Azam na Simba zikiumana katika Uwanja wa Mkwakwani huko Tanga.
Kwa muda wa wiki sasa, AFC imekuwa ikijigamba kuifunga Yanga katika mchezo wa leo ili irudishe imani ya wapenzi wake baada ya kuanza vibaya ligi hiyo. Beki wa zamanai wa Yanga ambaye amejiunga na AFC, Hamis Yusuf 'Waziri wa Ulinzi' ameitahadharisha Yanga kutotarajia mchezo mwepesi leo.
Yanga bado inakabiliwa na wachezaji majeruhi kama Shamte Ally na Kiggi Makasy. Hata hivyo mshambuliaji Kenneth Asamoah amepona hivyo anatarajiwa kuteremka dimbani leo kuwavaa AFC.

16 comments:
mambo magumu au?
mnyama kisha mlamba azam 2-1
nani anajali?
kwani hii blog ya azam au simba?
acheni hasira mahanithi nyie
huyu mzenji katoka wapi?
kikawaida baadhi ya watu huona watu wote kama wao sasa msishangae nae maana yeye ndivyo alivyo
cm kaka mambo yakoje hapo? tuko mbali huku
AFC 2 YANGA 1[Tegeta]
kwani na wewe ni cm?????? au mnyama unataka nikereheke?
ha ha ha ha ha ha ha walete walete
Katika mchezo mwingine wa Ligi kuu ya Vodacom uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha jioni ya leo yanga imefanikiwa kuifunga timu ya AFC ya Arusha magoli mawili kwa bila. Magoli hayo yamefungwa na wachezaji Ernest Boake na Iddi Mbaga na kuifanya Yanga kujipatia pointi tatu muhimu kama mahasimu wao Simba
habari ndio hiyo watasema watatukana lakini ushindi huo safi kabisa
AFC 0 Yanga 2
Azam 1 Simba 2
Wajameni matokeo ni
AFC 2 Yanga 1
Azam 1 Simba 2
mshikaji hapo juu, mbona unaleta unazi usio na manufaa dunia ya leo, kandambili ni kandambili
http://www.facebook.com/pages/I-am-a-FAN-of-YOUNG-AFRICANS-SC/144971678852174
Post a Comment