Wednesday, September 15, 2010

Ligi Kuu ya Vodacom

Mechi za leo
Mtibwa Sugar vs Yanga

Simba vs Ruvu Shooting Stars

18 comments:

Anonymous said...

Vipi wadau matokeo yakoje?

Tupatie update za mechi

Anonymous said...

Mwanza ni mapumziko simba 2 ruvu shooting 1

Anonymous said...

Moro Mtibwa I Yanga 0 ni halftime sasa

Anonymous said...

yanga 2 mtibwa 1

Anonymous said...

Dk 7 mgosi anapaisha penati walio pata simba baada ya shija mkina kufanyiwa madhabi. ruvu wamekosa goli la wazi dk 8. matokeo bado 2 kwa 1

Anonymous said...

Yanga 0 Mtibwa 0, mbona tunadanganyana hapa? hayo magoli mmeyapata wapi na lini?

Anonymous said...

yanga 3 mtibwa 1[tegete 2,chuji 1]

Anonymous said...

hadi mapumziko matokeo yalikuwa mtibwa 1 na yanga 0. mambo magumu sana leo.

tina said...

Tuache danganya toto humu ndani jamani.wote tumeshakuwa na tuache mambo ya kitoto.tuweke mambo ya ukweli hata kama timu tunayofuatalia inafanya vibaya.yote ni sehemu ya michezo na tukubali matokeo

Anonymous said...

Tina sema wewe maana hapa ni utoto mtupu

Anonymous said...

yanga 1 mtibwa 1 (full time mfungaji Abdi Kasim)

Anonymous said...

cm tumwagie ukweli hapa mkuu,kila mtu anatoa matokeo yake,ukweli ni upi?

Anonymous said...

cm tumwagie ukweli hapa mkuu,kila mtu anatoa matokeo yake,ukweli ni upi?

Anonymous said...

ukwelli ni moja moja

CM said...

Tumetoka sare 1-1 bao la Yanga limesawazishwa ktk dk ya 73 na Abdi Kassim.

Simba 2 Ruvu 1

Kagera 1 Azam 0

Anonymous said...

sisi waleeee,tofauti points 2 ,mkigongwa na azam,kagera,mnyama mara 2 , kwishne,mtabaki kusawazisha kila mechi mgongowazi nyie,wapaa samaki ferry,wabeba rumbesa tandale kwa matunda ngozoma,wachawi mwembe yanga tandika,mafisadi chichiemu nyie,siwapendi sembe njano nyie kudadeki zenu.

Anonymous said...

we lazima usipende hujasahau na msubiri tu madua ya kuku mtakipata tena kipigo mbona bado mapema mtanunua mechi ngapi?

Anonymous said...

Tumesajili wachezaji kwa bei kali, sasa na kocha tunaye mkali sasa tatizo ni nini?