tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1133111121432211760..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Ligi Kuu ya VodacomUnknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-10074181646822154732010-06-10T21:28:51.181+03:002010-06-10T21:28:51.181+03:00Wana yangu tufumbuke macho. hivi kizuri kwetu ni k...Wana yangu tufumbuke macho. hivi kizuri kwetu ni kugawiwa ticket za bure, kulipiwa ada au kuwa na timu nzuri ambayo itachukua ubingwa, kutofungwa na simba na kuwika afrika. kuliko kutulipia mapesa kununua ticket ambazo hata sisi tungeweza si tusajili basi african classic player ili tuwe na raha na amani kwa ushindi? au si angempa ngassa abaki jangwani. au ndio yale mtu anakwambia kunywa pombe tani yako lakini ukimuomba elfu moja ununue chips anakataa? natamani ningepata nafasi ya kuongea na madega. anaweza kuwa na mengi moyoniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-40561644831756477262010-06-08T10:08:35.041+03:002010-06-08T10:08:35.041+03:00Mbona hakuna tatizo kwenye hiyo post? au mzee ulip...Mbona hakuna tatizo kwenye hiyo post? au mzee ulipanga foleni halafu ukakosa tiketi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72412311789492273382010-06-08T09:13:48.070+03:002010-06-08T09:13:48.070+03:00Inaonyesha wewe mpiga picha na uliyetuma hii picha...Inaonyesha wewe mpiga picha na uliyetuma hii picha sambamba na kuandika maneno haya akili zako zina walakini. kwa Lugha nyingine wanayosema akili ni nywele wewe kuna nywele zimekatika au zimenyofoka! ujumbe hauna maana! Tuache na Yanga yetu na faida zetu za kuwa Yanga! majungu peleka huko huko!Anonymousnoreply@blogger.com