tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1527494459983416372..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-33343136679077588852007-05-15T16:45:00.000+03:002007-05-15T16:45:00.000+03:00ila tuacheni utani forward yetu inapwaya vibaya mn...ila tuacheni utani forward yetu inapwaya vibaya mno yaani ufungaji ni sifuriAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32599263902580660922007-05-14T14:09:00.000+03:002007-05-14T14:09:00.000+03:00Huyu anonymous wa hapo juu mbona hajui anachoongea...Huyu anonymous wa hapo juu mbona hajui anachoongea ? Mambo ya mpira wa miguu atuachie siye na yeye aendelee na mambo ya netiboli !!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-77197642558780902012007-05-10T18:48:00.000+03:002007-05-10T18:48:00.000+03:00Siiombei mabaya Stars, lakini nadhani Maximo tayar...Siiombei mabaya Stars, lakini nadhani Maximo tayari ameanza kulewa na siasa za mpira wa tanzania. Alichofanya ni kuchagua wachezaji 6 toka simba ya yanga (just balancing the numbers) na kuchukua wachezaji wengi wa mtibwa ili simba na yanga zisiwe na majority number. Hizo ndo siasa.

Wachezaji kama Hamis Yusuf, Athuman Idd na Mrisho Ngassa (sijui kwa nini hajamwita huyu dogo) wangestahili kuwepo.
Naamini uzoefu wa mechi za kimataifa ni muhimu.

Hao wengine wangeitwa baada ya mechi ya senego wakafanya mazoezi kwanza na kucheza mechi za kimataifa.

Sitashangaa senego wakitupiga goli 5 kirumba... naomba siku hiyo apangwe kipa wa simba.... (jocking..)

Mwaikimba acha apumzike kidogo, Simba nao wachezeshe strickers wao tuone... (utadhani hawakuwepo wakati wanatolewa na kitimu cha msumbiji)Anonymousnoreply@blogger.com