tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1530115574112976487..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-89860510948596963142008-10-26T18:58:00.000+03:002008-10-26T18:58:00.000+03:00Duh hii kali mimi ni mdau ambaye jina la mwalala l...Duh hii kali mimi ni mdau ambaye jina la mwalala lilikuwa ninanijia kichwani usiku mzima nadhani itabidi niwe mtabiri sasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-9566784620745821912008-10-26T16:41:00.000+03:002008-10-26T16:41:00.000+03:00Wewe bwana ambaye jina la Mwalala lililkuwa linaku...Wewe bwana ambaye jina la Mwalala lililkuwa linakujia usingizini hakika kichwa ni poa. Yanga 1 dk ya 15 ni Mwalala huyo huyo. Tuombe mungu mambo yaendelee kuwa hivi hivi au tuongezeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-36769608851531479082008-10-26T16:38:00.000+03:002008-10-26T16:38:00.000+03:00Yanga 1 dk ya 15 MwalalaYanga 1 dk ya 15 MwalalaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-25756760714937493292008-10-26T13:51:00.001+03:002008-10-26T13:51:00.001+03:00Manji bay bay!!!!!Manji bay bay!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-27641569827318319212008-10-26T13:51:00.000+03:002008-10-26T13:51:00.000+03:00Hata muweke shombe leo mtafungwa tu.Hata muweke shombe leo mtafungwa tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-69584092838697845762008-10-26T05:15:00.000+03:002008-10-26T05:15:00.000+03:00Hawa Kagera mbona wanatutishia maisha? Jamaani mwe...Hawa Kagera mbona wanatutishia maisha? Jamaani mwenzenu silali jina la Mwalala linanijia usingizini.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-176087464644381862008-10-25T22:14:00.000+03:002008-10-25T22:14:00.000+03:00asante ,wewe unajua tena ,Nani anataka kukaa home ...asante ,wewe unajua tena ,Nani anataka kukaa home ku miss big match.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-55803785812578060322008-10-25T21:14:00.000+03:002008-10-25T21:14:00.000+03:00Katika mechi zilizopigwa leo:Prisons 2 Azam 0Kager...Katika mechi zilizopigwa leo:

Prisons 2 Azam 0

Kagera 1 Moro 0

Polisi Moro 3 JKT 3

Toto 1 Mtibwa 1

Polisi Dom 1 Villa 2Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-23080131241670939542008-10-25T20:01:00.000+03:002008-10-25T20:01:00.000+03:00anony hapo juu nadhani wewe ni mgeni wa blog hii j...anony hapo juu nadhani wewe ni mgeni wa blog hii jamaa huwa anatupa matokeo "live" toka uwanjani mambo ya teke la kulia hayo wewe kesho ingia hapa utapata matokeo toka mwanzo mpaka mwisho ila naweza kupost kwenye comments..upo habari ndiyo hiyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16741297210082020522008-10-25T19:54:00.000+03:002008-10-25T19:54:00.000+03:00tafadhali mwenzetu mweye blog hii, kwanza shukrani...tafadhali mwenzetu mweye blog hii, kwanza shukrani nyingi sana kutoka kwangu.pili jee itabidi ukae home ili sisi tulio mbali na tza tupate kufaidi hii match kubwa?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-38893215674885567812008-10-25T19:25:00.000+03:002008-10-25T19:25:00.000+03:00Naona mzee umekung'uta VIP nimekubali. Ungechukua ...Naona mzee umekung'uta VIP nimekubali. Ungechukua nyingine kama 30,000 ukawanunulie mashabiki 100.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-42654328557963925452008-10-25T19:22:00.000+03:002008-10-25T19:22:00.000+03:00Jamani msisahau kufunga na kuomba hawa jamaa wamet...Jamani msisahau kufunga na kuomba hawa jamaa wametutesa sana. Mungu ibariki Dar Young Africans.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-2878288079849126742008-10-25T16:58:00.000+03:002008-10-25T16:58:00.000+03:00Mimi niko Uingereza, sitaweza kushuhudia mechi! Na...Mimi niko Uingereza, sitaweza kushuhudia mechi! Nasubiri matokeo hapa.Anonymousnoreply@blogger.com