tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1633069783724778079..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-84371188073020620792009-08-28T14:26:37.747+03:002009-08-28T14:26:37.747+03:00hivi hizo khabari ya manji kajitowa mumezipata wap...hivi hizo khabari ya manji kajitowa mumezipata wapi?wapo watu wanalaumu nawapo wanapongeza naye yupo kimya mbona mna pupa kilichofanywa kutizama jee yanga bila msaada kutoka nje inaweza kujiendesha au !!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-71913485640946361832009-08-28T00:48:32.962+03:002009-08-28T00:48:32.962+03:00SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEP...SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEPO MAREHE, GULAMALI ALIAMBULIA MITUSI OHH TEJA WE BADO MDOGO FUATA NYAYO ZA DEWJ MBUNGE: WEKEZA KTK TIMU ZISIZO NA MAJINA: UNA HERAAAA WEWE...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hii ndio yanga khakha!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-4202542724998410942009-08-28T00:48:31.507+03:002009-08-28T00:48:31.507+03:00SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEP...SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEPO MAREHE, GULAMALI ALIAMBULIA MITUSI OHH TEJA WE BADO MDOGO FUATA NYAYO ZA DEWJ MBUNGE: WEKEZA KTK TIMU ZISIZO NA MAJINA: UNA HERAAAA WEWE...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hii ndio yanga khakha!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-91183223980939118562009-08-28T00:48:29.325+03:002009-08-28T00:48:29.325+03:00SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEP...SAWA ,MANJI JIKATAE HUMO HAMNA KITU YANGA ALIKUWEPO MAREHE, GULAMALI ALIAMBULIA MITUSI OHH TEJA WE BADO MDOGO FUATA NYAYO ZA DEWJ MBUNGE: WEKEZA KTK TIMU ZISIZO NA MAJINA: UNA HERAAAA WEWE...!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hii ndio yanga khakha!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-74434482658160872042009-08-26T18:59:46.512+03:002009-08-26T18:59:46.512+03:00matokeo ya leo vipi wadau mlioko Bongo?matokeo ya leo vipi wadau mlioko Bongo?barazanihttps://www.blogger.com/profile/16864462984381743291noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-23304933605960306092009-08-26T18:43:25.590+03:002009-08-26T18:43:25.590+03:00Inasikitisha mno kuwa na uongozi mbovu wa kifisadi...Inasikitisha mno kuwa na uongozi mbovu wa kifisadi kama huu. Yanga haijawahi kupata mfadhili kama huyu. Hili siyo siri kafanya mengi mnoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-57311890763882007062009-08-26T18:35:00.308+03:002009-08-26T18:35:00.308+03:00yes hiyo ni ukweli kabisa ,hebu tujifunze sasa.yes hiyo ni ukweli kabisa ,hebu tujifunze sasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-13767909814643621392009-08-26T18:23:34.626+03:002009-08-26T18:23:34.626+03:00Manji hakutoa msaada wa samaki tu, amejaribu kufun...Manji hakutoa msaada wa samaki tu, amejaribu kufundisha watu kuvua. Kama watu wataamua kubaki wameshikilia ndoano itakuwa kumtafuta Manji ubaya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-29711880265848637242009-08-26T00:11:21.255+03:002009-08-26T00:11:21.255+03:00vipi wazee leo manji kawa mbaya ?kwanini?mzazi kam...vipi wazee leo manji kawa mbaya ?kwanini?mzazi kamwambia mtoto hebu kua iliujitegemee kwani ni ubaya gani?tuwe na mawazo ya kisasa ,manji you are great we will always remember you,nobody can do what have you done in yanga for decades asante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-14346255763856104502009-08-25T20:08:20.303+03:002009-08-25T20:08:20.303+03:00Hivi tatizo ni Manji? hapa kafanya nini mpaka alau...Hivi tatizo ni Manji? hapa kafanya nini mpaka alaumiwe amjitahidi kuwa mawazo kidogo tu ili time ije ijiendeshe lakini wapi sasa mnamlaumu nini? katoa pesa kukarabati jengo na ununuzi wa vitanda, lkn ubadhilifu umefanywa. Nia yake alitaka Yanga isiingie gharama kuweka kambi sasa bado kweli tunamlaumu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-44183141588873271032009-08-25T19:55:25.879+03:002009-08-25T19:55:25.879+03:00naona tutasambaritika mwaka huu...ni wakati tujite...naona tutasambaritika mwaka huu...ni wakati tujitegemee wenyewe na kuacha kutegemea ufadhili kutoka watu binafsi....Tupokee usaidizi kutoka wadau waliyo na mapenzi na timu...SJnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-46749566993662772772009-08-25T15:57:20.675+03:002009-08-25T15:57:20.675+03:00Uongozi yanga ni dhaifu mnoUongozi yanga ni dhaifu mnoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-65755366257077946032009-08-24T21:24:24.668+03:002009-08-24T21:24:24.668+03:00Hali ngumu, Manji kaingia mitini, kocha anaona daa...Hali ngumu, Manji kaingia mitini, kocha anaona daa..jamani tujipange, tushukuru jamaa katuachia Jengo zuri la kisasa.Anonymousnoreply@blogger.com