tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1736444973510043900..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Ligi Kuu ya Vodacom 2009/10Unknownnoreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-76462722099203549542009-08-03T16:14:39.582+03:002009-08-03T16:14:39.582+03:00mbona hiyo ratiba inatupembelea mechi zote raundi ...mbona hiyo ratiba inatupembelea mechi zote raundi ya pili ni Dar kasoro ya mwisho tu na Prison ndio tunaenda Mbeya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-42326050052793464412009-08-01T20:05:06.261+03:002009-08-01T20:05:06.261+03:00jamani si tusubiri hizi habari zina utata, kwa mtu...jamani si tusubiri hizi habari zina utata, kwa mtu yeyote mwenye akili timamu, kulikuwa na maana gani kukarabati jengo na kuweka flat tv kila chumba na then mkaweke kambi mwanaza? huo si ni uhayawani na ufujaji wa pesa bila sababu? Manji yuko swa kabisa kwa hili.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-88497946795940656492009-08-01T07:40:49.415+03:002009-08-01T07:40:49.415+03:00Haya sasa tutawaona, wewe unayeongelea viongozi ma...Haya sasa tutawaona, wewe unayeongelea viongozi mafisadi? mbona Kagoda huisemi? ni nani aliyefisadi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-6350488589113927062009-07-31T01:15:53.084+03:002009-07-31T01:15:53.084+03:00nani aliye pokea vifaa?si wam adabishe.tanzania im...nani aliye pokea vifaa?si wam adabishe.tanzania imeendelea sisi hatutaki wabababishaji au wezi katika klabu na nchi kwa ujumla ,shikisha adabu vingozi mafisadi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-8604979453176864852009-07-31T01:15:51.771+03:002009-07-31T01:15:51.771+03:00nani aliye pokea vifaa?si wam adabishe.tanzania im...nani aliye pokea vifaa?si wam adabishe.tanzania imeendelea sisi hatutaki wabababishaji au wezi katika klabu na nchi kwa ujumla ,shikisha adabu vingozi mafisadi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72754561718668595322009-07-29T23:13:24.177+03:002009-07-29T23:13:24.177+03:00Manji katutosa kawapa viongozi changamoto ya kujit...Manji katutosa kawapa viongozi changamoto ya kujitegemea.Wachezaji wanadai mwalimu anadai.Wachezaji wakigeni bado hawajaripoti kambini kwa kupewa ahadi hewa.Nilionya huko nyuma kosa la kutegemea mtu mmoja akijitoa ndio haya matatizo yake.Timu ilkuwa iende Mwanza imebaki kilabuni hamna vitanda vya maana na pesa zinadaiwa zimeliwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72238404090798387642009-07-29T15:21:51.156+03:002009-07-29T15:21:51.156+03:00pole sana ndugu na ahsante sana kwa kuanza kutupat...pole sana ndugu na ahsante sana kwa kuanza kutupatia mapya tunakuwa na shauku kusoma habari ktk blog hii maana habari za ukweli zinapatikana hapa baadhi ya magazeti wanatuyeyusha kila la kheriAnonymousnoreply@blogger.com