tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post1817319251576265238..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16735740539991726872007-12-18T21:17:00.000+03:002007-12-18T21:17:00.000+03:00Dhidi ya klabu za Madagaska, Libya/Chad tunaweza k...Dhidi ya klabu za Madagaska, Libya/Chad tunaweza kuvuka - hakuna wasiwasi (lakini juhudi ni muhimu, tusilale!). <BR/><BR/>Kwa upande wa timu za Misri/Algeria itabidi Yanga waongeze bidii na maarifa - sio mechi rahisi hizi.<BR/><BR/>Timu ya vijana Yanga ni muhimu kwa kuinua vipaji vya chipukizi.Anonymousnoreply@blogger.com