tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post2497275426723843647..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-37377117530468981832007-03-07T15:06:00.000+03:002007-03-07T15:06:00.000+03:00Nafurahi na kufarijika kwa mwafaka uliofikiwa kwen...Nafurahi na kufarijika kwa mwafaka uliofikiwa kwenye club yetu ya YANGA mpaka sasa na matokeo mazuri yanayoendelea kuonyeshwa na vijana wetu.<BR/>Pia napongeza ujio wa cocha mpya MICHO.<BR/>Nipende tu kuomba wote wanaoendelea na mwafaka kujua na kutambua KUWEPO NA KIKUNDI CHEMA kwa timu na club yetu YANGA FAMILLY !!! HAWA MUMEWAWEKA WAPI KATIKA MWAFAKA ????kumbukeni mengi mema ambayo yanga familly wamefanya na wanaendelea kufanya. HII NI CHANGAMOTO KWENU WAHUSIKA WA MWAFAKA.Anonymousnoreply@blogger.com