tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post299027645004756686..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-81135629113593850382008-02-23T17:44:00.000+03:002008-02-23T17:44:00.000+03:00Miaka saba tulidai hivyo na tunaishia kulizwa.Maad...Miaka saba tulidai hivyo na tunaishia kulizwa.Maadui wa Yanga wapo ndani ya Yanga wachezaji na viongozi fulani.Bila kuwasafisha ushindi ni ndoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-55256457998860570382008-02-23T13:28:00.000+03:002008-02-23T13:28:00.000+03:00Kisoka tuko juu zaidi ya Simba hii inamaanisha kuw...Kisoka tuko juu zaidi ya Simba hii inamaanisha kuwa hiyo tarehe 30 itakuwa mwisho wa uteja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-1322697189103213982008-02-19T15:48:00.000+03:002008-02-19T15:48:00.000+03:00Kwa mpira huu tunaocheza na ubabaishaji wa viongoz...Kwa mpira huu tunaocheza na ubabaishaji wa viongozi tuna kazi kubwa.Huko Dodoma Ken Mkapa meneja wa timu aliruhusu wachezaji watoroke kwenda Disco halafu bado tunajitapa.Kocha kalalamika hakuna hatua zinachukuliwa.Tukifungwa kama kawaida tutatafuta mchawi.Mechi ya Simba kwa vingozi na wazee waganga njaa ni biashara.Hivyo lolote linaweza kutokea.Tuache majigambo.Tutayarishe timu kisayansi.Bila hvyo kuna kila dalili ya kuudhika tena.Anonymousnoreply@blogger.com