tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post32818806333045840..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-6337338142941625772010-05-26T00:37:06.478+03:002010-05-26T00:37:06.478+03:00Wale Panyabuku wamekimbizwa na yule paka anayepend...Wale Panyabuku wamekimbizwa na yule paka anayependa kukaa kwenye sofa. Wakajifanya kukimbia kodi, Mamlaka ya kodi ya mapato uganda ikawatia nguvuni na sasa wapo kwenye jela la wanajeshi wa APR ambako wameambiwa wakiachiwa wasionekane kabisa Rwanda. Hivyo wakati wowote watarudi kwani wale ni WAHAPAHAPA tu. Wakishaanza kununua mechi za hapa nyumbani kama kawaida yao wale PANYABUKU wataonekana tena na tambo zao.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/02266989133773838245noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-1179933367472509632010-05-25T19:31:45.040+03:002010-05-25T19:31:45.040+03:00contena la brush linakuja vyoo sasa vitang'ara...contena la brush linakuja vyoo sasa vitang'ara msimbazi wao na mpira wapi na wapi bora wafanye usafiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16838767482954909632010-05-25T13:43:03.593+03:002010-05-25T13:43:03.593+03:00KUONDOKA KWA NGASA HAKUTAKUWA NA ATHARI KWA TIMU. ...KUONDOKA KWA NGASA HAKUTAKUWA NA ATHARI KWA TIMU. KOCHA TULIYE NAYE ANAUWEZO WA KUIBADILI TIMU. NGASA ALIKUWA NA MCHANGO MKUBWA KWENYE TIMU, LAKINI KWA FEDHA ALIZOPEWA NI SAWA AENDE,TUNAMTAKIA MAFANIKIO ZAIDI MPIGANAJI WETU.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-38908185338431368862010-05-25T13:39:13.268+03:002010-05-25T13:39:13.268+03:00TIMU IMEFUZU KWA KUSHINDA MECHI MOJA KATI YA TATU,...TIMU IMEFUZU KWA KUSHINDA MECHI MOJA KATI YA TATU,INGEWEZAJE KUSONGA MBELE.
ZAO KUCHONGA TU.
NA WALE PANYA BUKU MBONA HAPWAPO HUMU SIKU HIZI.NANI KAWAKIMBIZA

AAAAAAHHHHHHHHH ASAFALI PAKAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-53444005976161654502010-05-25T13:36:06.313+03:002010-05-25T13:36:06.313+03:00WAHAPAHAPA,WAHAPAHAPA HAO.
KATIKA MECHI 5 ZA KIMA...WAHAPAHAPA,WAHAPAHAPA HAO.

KATIKA MECHI 5 ZA KIMATAIFA WAMESHINDA 1 NA KUCHAPWA 4. WARUDI WAENDELEE KUNUNUA ZA HAPAHAPAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-75680610483329954732010-05-25T11:00:54.184+03:002010-05-25T11:00:54.184+03:00SIMBA WAHAPAHAPASIMBA WAHAPAHAPAUnknownhttps://www.blogger.com/profile/02266989133773838245noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-77609660265177347872010-05-25T08:13:02.811+03:002010-05-25T08:13:02.811+03:00Timu bora Afrika mashariki imefungwa mechi tatu ka...Timu bora Afrika mashariki imefungwa mechi tatu katika nne ilizocheza? Sijawahi ona timu mbovu kama hii.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-11619496093842913782010-05-24T20:36:21.774+03:002010-05-24T20:36:21.774+03:00leo tena kimewaka huko Kigali
APR 2 Simba 1leo tena kimewaka huko Kigali

APR 2 Simba 1Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-89218761040883392352010-05-24T16:48:17.157+03:002010-05-24T16:48:17.157+03:00na lile gunia la msumari linalobebwa huko rwanda l...na lile gunia la msumari linalobebwa huko rwanda limekuaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-57547664893484274542010-05-21T16:08:48.486+03:002010-05-21T16:08:48.486+03:00kama tutafuata maelekezo ya Papic kuhusu wachezaji...kama tutafuata maelekezo ya Papic kuhusu wachezaji anaowahitaji basi hakuna cha kututisha msimu ujao.Ninawaomba viongozi wasajili kama kocha alivyoagiza.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-56631748967544310042010-05-21T08:14:16.038+03:002010-05-21T08:14:16.038+03:00kwa nini ni pigo kubwa kwa yanga? Kwani wapikuwa w...kwa nini ni pigo kubwa kwa yanga? Kwani wapikuwa wauzwe nje hao wachezaji lisingekuwa pigo? Yanga tunachotakiwa kufanya ni kufanya usajili utakaoziba mapengo yao na mapengo yaliyojitokeza kwenye msimu uliopitaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-24932907459398349142010-05-20T20:40:37.383+03:002010-05-20T20:40:37.383+03:00Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Yanga na pia Taif...Mshambuliaji mahiri wa zamani wa Yanga na pia Taifa stars leo amesaini kuichezea Azam FC kuanzia msimu ujao wa 2010/2011 na atakuwa akilipwa mshahara wa 1.2m kwa mwezi na ada yake ya uhamisho ni 40m. Hili ni pigo kubwa sana kwa Yanga kwa wko mbioni kumpoteza Nadir Haroub Canavaro...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-65386624203062834182010-05-20T16:01:27.227+03:002010-05-20T16:01:27.227+03:00Tuwe makini kuongeza training facilities na mambo ...Tuwe makini kuongeza training facilities na mambo ya msingi, mfano usajili unaolenga kuziba mapengo katika nafasi zilizokuwa na mapungufu msimu ujao.La sivyo tutakua wasindikizaji na msimu ujaoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-69479174336995426482010-05-20T15:58:58.329+03:002010-05-20T15:58:58.329+03:00Kumfukuza bila ushahidi wa kueleweka ni kama kupot...Kumfukuza bila ushahidi wa kueleweka ni kama kupoteza wachezaji bila sababu za msingi na kulea majungu.Watanzania lazima tupevuke kimchezo, tukizidiwa lazima tukubali kwamba tulizidiwa sio kusingizia watuAnonymousnoreply@blogger.com