tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post330239795686315986..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger23125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-59137492532865226612009-09-06T20:13:16.798+03:002009-09-06T20:13:16.798+03:00Mimi sijasikia hilo la Manji, lakini nilichosikia ...Mimi sijasikia hilo la Manji, lakini nilichosikia ni kuwa Yanga wametozwa faini ya 500,000. Chuji kafungiwa pamoja na kocha Kondochi..., labda CM anaweza kutupa habari kamili.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-138780581680386842009-09-06T19:56:11.792+03:002009-09-06T19:56:11.792+03:00Eti CM ni kweli Manji ametaka timu irudi Dar harak...Eti CM ni kweli Manji ametaka timu irudi Dar haraka kabla ya mechi ya pili? hizi habari nimezisikia leo pale mgahawa wa Falcon.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-30151634677346062822009-09-06T15:09:34.634+03:002009-09-06T15:09:34.634+03:00Blog hii kwa sasa imeingiliwa na kila mtu anaona. ...Blog hii kwa sasa imeingiliwa na kila mtu anaona. Kinachotakiwa kufanya kwa sasa bwana CM unatakiwa kuchuja habari za kuchapisha, sioni kwa nini uchapishe kila takataka inayo ingia.Other wise hii hiki si kijiwe cha wanayanga tena. Tunapenda tupate habari za kweli zinazo husu klabu yetu. Tumewakimbia mitaani na kashifa zao bado wanatufuata hata hapa. CM huna haja ya kulalamika wewe una rungu kwa nini unaruhusu upuuzi huu. Bila kuchukua hatua watu wataacha kufungua blog hii.Awali hatukuwa na shida hizi,ONDOA TAKATAKA ZAO NA WATAONDOKA WAO WENYEWE,kuendelea kuchapisha huo utumbo wao ni kuwakaribisha.Masebenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-111063328644958352009-09-05T20:58:51.440+03:002009-09-05T20:58:51.440+03:00Nyinyi mlisajili kwa majina, sasa ngojeni hakuna t...Nyinyi mlisajili kwa majina, sasa ngojeni hakuna timu hapo. Tunawangoja kwa hama, ngojeni tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-82727623521161992782009-09-05T19:25:15.428+03:002009-09-05T19:25:15.428+03:00Inasikitisha kuona watu wazima wanapost matokeo ya...Inasikitisha kuona watu wazima wanapost matokeo ya uongo sijui hasa nia yao ni nini.

Na mbaya zaidi wanatumia jina la CM kufanya hivyo.(mdau aliyepost comment Sep 5, 2009 6:31:00 PM)

Naomba msituharibie blog yetu.CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-2447145358630304642009-09-05T19:14:53.236+03:002009-09-05T19:14:53.236+03:00Matokeo ya mechi za leo:
Majimaji 1 Yanga 0
Simba...Matokeo ya mechi za leo:

Majimaji 1 Yanga 0
Simba 3 Toto 1
Prisons 1 African Lyon 0

Kuna mdau amejipachika jina la CM ametoa matokeo ya uongo.

CM halisi ni hii yenye rangi ya blue.CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-33420522160179239792009-09-05T18:32:37.499+03:002009-09-05T18:32:37.499+03:00Majimaji 1 Yanga 0
Simba 3 Toto 1Majimaji 1 Yanga 0
Simba 3 Toto 1Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16318328121612192472009-09-05T18:31:33.912+03:002009-09-05T18:31:33.912+03:00wadau mpira umekwisha.simba 3 toto 1 na majimaji 2...wadau mpira umekwisha.simba 3 toto 1 na majimaji 2 yanga 1.CMnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-61792591870989372972009-09-05T18:29:17.652+03:002009-09-05T18:29:17.652+03:00Dar: Simba 3 Toto 0
Songea: Majimaji 2 Yanga 0 Mp...Dar: Simba 3 Toto 0
Songea: Majimaji 2 Yanga 0 Mpira umekwisha sasa hiviAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-59926747128520281392009-09-05T18:27:46.325+03:002009-09-05T18:27:46.325+03:00Huo ndiyo ukweli, mpira Dar umeisha Simba kashinda...Huo ndiyo ukweli, mpira Dar umeisha Simba kashinda 3 na Yanga tayari ameishafungwa 2, mpira bado haujaishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-36511427579587926162009-09-05T18:25:56.033+03:002009-09-05T18:25:56.033+03:00wewe acha fitinawewe acha fitinaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-50427798168688356302009-09-05T18:25:46.075+03:002009-09-05T18:25:46.075+03:00jamani wekeni ukweli humujamani wekeni ukweli humuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-34006281007506778492009-09-05T18:23:57.627+03:002009-09-05T18:23:57.627+03:00Haya Simba kashinda 3 - 1, Yanga kishafungwa 2 -0 ...Haya Simba kashinda 3 - 1, Yanga kishafungwa 2 -0 mpira bado haujaisha, nitawapa matokeo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-85680382874782269042009-09-05T17:54:56.496+03:002009-09-05T17:54:56.496+03:00vipi mpira bado haijaisha?vipi mpira bado haijaisha?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15236551283986353992009-09-05T17:22:33.729+03:002009-09-05T17:22:33.729+03:00vipi mbona matokeo yanatafautiana.tuweke ukweli ha...vipi mbona matokeo yanatafautiana.tuweke ukweli hapajohn, manchesternoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-17408032456693925252009-09-05T17:19:17.889+03:002009-09-05T17:19:17.889+03:00Tumuamini nani sasa??,mbona kila mtu anaripoti kiv...Tumuamini nani sasa??,mbona kila mtu anaripoti kivake.Tafazali nyie msio mashabiki wa yanga acheni kujipendekeza kwenye kijiwe kisicho chenu,km simba hamna glob sii mfungue yenu mkaposti huko?
Tafazali CM au mwanayanga yeyote atupe za kwelikweli!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28228227008233003592009-09-05T17:18:09.741+03:002009-09-05T17:18:09.741+03:00cm tupe usafi naona vipanya washaanza kupotosha hu...cm tupe usafi naona vipanya washaanza kupotosha humuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-75612914413772354872009-09-05T17:16:03.697+03:002009-09-05T17:16:03.697+03:00vipi mbona matokeo yanatafautiana.tuweke ukweli ha...vipi mbona matokeo yanatafautiana.tuweke ukweli hapajohn, manchesternoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-56950536454869598992009-09-05T17:15:55.025+03:002009-09-05T17:15:55.025+03:00matokeo bado kama yalivyo au kuna mabadilikomatokeo bado kama yalivyo au kuna mabadilikoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-47458761977624659142009-09-05T17:04:18.227+03:002009-09-05T17:04:18.227+03:00Dar sasa Mnyama 1 and Toto 1, nadhani mdau umekose...Dar sasa Mnyama 1 and Toto 1, nadhani mdau umekosea, Songea bado ni 0 kwa woteAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-35674427463736194512009-09-05T16:58:41.264+03:002009-09-05T16:58:41.264+03:00Mnayama anaongoza kwa goli moja, tungoje game bado...Mnayama anaongoza kwa goli moja, tungoje game bado sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15793491033264108692009-09-05T16:50:51.876+03:002009-09-05T16:50:51.876+03:00ahsante mdau muda bado ipo goli litarudi?vipi mnya...ahsante mdau muda bado ipo goli litarudi?vipi mnyama nae anateswa au la?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72591039084526000592009-09-05T16:47:18.971+03:002009-09-05T16:47:18.971+03:00Songea mambo yameiva, Maji Maji 1, Yanga 0, nitawa...Songea mambo yameiva, Maji Maji 1, Yanga 0, nitawapa habari zaidi, Maji Maji wamepata bao dakikia 20 Kipindi cha kwanza.Anonymousnoreply@blogger.com