tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post3369613250245068321..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-65213768680393167612009-03-15T18:24:00.000+03:002009-03-15T18:24:00.000+03:00Hasira za nini???Wafanyie Al alhly kwani ndio wata...Hasira za nini???Wafanyie Al alhly kwani ndio wataowakwaa leo usiku.Nyoo mlipokuwa mnashangilia timu zinazocheza na wapinzani wenu mlikuwa mnaona raha hata kuwaalika mfanye nao mazoezi kama ile timu ya msumbiji.Leo mnajitia uzalendo.Wacheni ujinga panueni waarabu wanakuja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28865195359466773202009-03-15T13:53:00.000+03:002009-03-15T13:53:00.000+03:00si unajua wachawi wapo wa aina nyingi, eti kama we...si unajua wachawi wapo wa aina nyingi, eti kama wewe huna uwezo,mwenzako anacho unashikwa na jelous ili nayeye asipate, kwanza angali wewe mwenyewe,utapata tabu sana kuangalia ya watu,kwanza angalia yako ufikie kama mwenzako,<BR/>mjinga mkubwa wewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-24776065239207833092009-03-15T05:47:00.000+03:002009-03-15T05:47:00.000+03:00sawa tutafungwa nyie nafasi ya pili mpaka kiama ki...sawa tutafungwa nyie nafasi ya pili mpaka kiama kije .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-7936864213282600162009-03-14T18:53:00.000+03:002009-03-14T18:53:00.000+03:00Kesho tano tu.Mrudi na adbau kelele zimezidi mjini...Kesho tano tu.Mrudi na adbau kelele zimezidi mjini.Mkiona waarabu kama kawaida yenu mnaachia.Kama mnabisha hii tovuti yenu itakuwa kimya kesho.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-22954477304230727402009-03-14T16:07:00.000+03:002009-03-14T16:07:00.000+03:00vipi stars huko leo,mechi kama hizi ndio za kuonye...vipi stars huko leo,<BR/>mechi kama hizi ndio za kuonyesha vipaji ili timu kama hizi zianze kuwachukua baadhi ya wachezaji wetu,inatakiwa mechi nyingi za kimataifa zitayarishwe hapo nchini,na kila timu kama itapendezewa na wachezaji itakwa ikichua baadhi yao,hapo tutaweza kuwa na lundo la wachezaji wetu abroad,na klabu na taifa zitakuwazikinufaika kwa vipato,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15440099768587875562009-03-14T04:39:00.000+03:002009-03-14T04:39:00.000+03:00Mshikaji hapo juu, ntalali ni matunda poli ambayo ...Mshikaji hapo juu, ntalali ni matunda poli ambayo ni maarufu zana mikoa ya kati na ziwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-65460705159450713222009-03-14T02:18:00.000+03:002009-03-14T02:18:00.000+03:00Duh, mdau hapo juu ntalali ndo nini?Duh, mdau hapo juu ntalali ndo nini?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-21268728812472169552009-03-13T22:34:00.000+03:002009-03-13T22:34:00.000+03:00Jamani kwa nini mnapoteza muda kumjibu? kama wao w...Jamani kwa nini mnapoteza muda kumjibu? kama wao wana akili wangemchagua muuza mitumba kuwa mwenyekiti wao? Dunia ya leo klabu yenye hadhi kama Simba haistahili kuongozwa na Dalali, sitashangaa muuza ntalali siku moja akiwa mwenyekiti wa SimbaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-81831388173745593082009-03-13T18:16:00.000+03:002009-03-13T18:16:00.000+03:00Huyu mwehu katokea wapi anatulia shombo humu ndani...Huyu mwehu katokea wapi anatulia shombo humu ndani? Kama sio mwanayanga tuachie nafasi tujadili yanayotuhusu kwanini na nyie msianzishe kilinge chenu? ebo! ovyo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-39357337693197690852009-03-13T13:48:00.000+03:002009-03-13T13:48:00.000+03:00we unauliza manji uliza boban yuwapi? phiri analia...we unauliza manji uliza boban yuwapi? phiri analia na kujuta keshaanza kudai nafasi ya pili anawasiwasi nayoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-10223480664439056702009-03-13T10:12:00.000+03:002009-03-13T10:12:00.000+03:00unajua wewe ni panya tuu,unaingia kwenye nyumba ya...unajua wewe ni panya tuu,unaingia kwenye nyumba ya watu shika adabu ,simba mnalia njaaaaaaaa tuuu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-59515148283163368172009-03-13T07:42:00.000+03:002009-03-13T07:42:00.000+03:00Hakuna dawa ya kukaza buti nyinyi mtafungwa tu, ha...Hakuna dawa ya kukaza buti nyinyi mtafungwa tu, hakuna timu ya kuwafunga Wamisri hapo, jumapili siyo mbali. Jamani by the way, Manji vipi? naona hata hotelini siku hizi mnafukuzwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-13835602790443086772009-03-12T15:03:00.000+03:002009-03-12T15:03:00.000+03:00Dawa nikukaza buti huko misri paka wenyewe wenyeji...Dawa nikukaza buti huko misri paka wenyewe wenyeji washangae ushindi upo tu watoto wa jangwaniAnonymousnoreply@blogger.com