tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post3449730419495204705..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Kombe la Shirikisho Afrika 2011Unknownnoreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28948020915760054152011-01-07T15:15:31.247+03:002011-01-07T15:15:31.247+03:00tatizo sio kocha tumezoea kubebwa sasa mbebeo im...tatizo sio kocha tumezoea kubebwa sasa mbebeo imekatika bla blaaa nyingi kama kawaida yetu kandambili eti tunatafuta viongozi angalau wamefuta ujinga , pambafuuuu. bora asie soma mwenye maarifa ya kuendesha kazi zake kuliko fom 4 mitope. ovyoooo!!!! mnasajili kwa bei mbaya halafu hao watu hawaisaidii timu, kichefu chefu mtupu ,<br /> <br /> TUACHIENI YANGA YETU, TIMU IMEVAMIWA NA MIJITU YA KUJA MATOKEO NDIO HAYO KILA MTU ANATAKA JINA KUPITIA YANGA SIO KULETA MAENDELEO.<br /><br /> mdau nchi za watuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-57829542845744629332011-01-05T05:00:34.500+03:002011-01-05T05:00:34.500+03:00hakuna viongozi wenye hekima na busara hizo hela z...hakuna viongozi wenye hekima na busara hizo hela za mishahara itatoka wapi?tunamlaumu manji kweli hiyo ni haki? manji alikua anasema jamani yanga aamkeeni tukadhani anatania ,sasa haya aibu tupuu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-36939834799173684382011-01-04T20:36:02.490+03:002011-01-04T20:36:02.490+03:00ebu tujulisheni hii habari ya minziro kujiunga na ...ebu tujulisheni hii habari ya minziro kujiunga na kambi ya yanga znz,ina maana papic byebye?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-45225090020014034622011-01-03T15:18:53.957+03:002011-01-03T15:18:53.957+03:00ukweli Yanga hatuna viongozi sahihi! maana ni mamb...ukweli Yanga hatuna viongozi sahihi! maana ni mambo ya aibu mnayotufanyia. katika hali ya kawaida iweje hakuna taarifa sahihi kutoka kwa Uongozi kwa haya yanayofanyika>! mnatutia aibu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-25428851744872276852010-12-27T20:35:41.655+03:002010-12-27T20:35:41.655+03:00Acheni hizo!! Si mlikuwa mnajisifu kuwa mna hela? ...Acheni hizo!! Si mlikuwa mnajisifu kuwa mna hela? N bado Mabuzi mengi tu meeeeeee!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-17053084521671562322010-12-27T19:55:13.758+03:002010-12-27T19:55:13.758+03:00haya sasa tumenunua mbuzi kwenye gunia leupe (mwap...haya sasa tumenunua mbuzi kwenye gunia leupe (mwape)si unaona ndiyo maana wachezaji wanadai zao,haya papic sijui unaonaje hili issue au unategemea utapata ukocha kenya?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-83726037117220559732010-12-25T21:21:20.588+03:002010-12-25T21:21:20.588+03:00nie vunjeni klabu ya mpira muunde klabu ya taarab...nie vunjeni klabu ya mpira muunde klabu ya taarabu,manaake hamuelewi jinsi ya kuendesha soka.wapenzi wote wasusie michezo yenu sijuui itakuaje.Anonymousnoreply@blogger.com