tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post3662927799306613280..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Ligi Kuu ya VodacomUnknownnoreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-2222843362691208682011-02-07T19:39:49.561+03:002011-02-07T19:39:49.561+03:00Yanga wamenapata wanachostahili kabisa. Mpira ni t...Yanga wamenapata wanachostahili kabisa. Mpira ni taaluma, taaluma haindani kwa mantiki za mdomo bila kuzingatia utaalamu.
Watu wamekuwa na majibu mepesi kwa matatizo mazito. Jaribu kujiuliza unamwondoa Papic katika kipindi ambacho timu inapaswa kuwa moja na yenye malengo mamoja. Hata neno "timu" tumeshindwa kabisa kujua maana yake na ndio maana twataja majina ya wachezaji tunaowapenda. Kocha mzuri ni yule aliyemjuzi wa anachofundisha na kuweza kuifanya timu ikaunganika na kuleta matokeo yanayotarajiwa.
kwa hiyo ni uendawazimu kumtukana refa kila mara. Minziro anatoa tokeo moja la kukwatuliwa na je alifunga magoli mangapi yakakataliwa na refa.
Uwezo wa minziro ni kufundisha kikocha umiseta na siyo timu itayoifanya yanga iwe ya kimataifa.
Utafundishwaje na kocha aliyekulia mpira wa fitina na aishi bila fitina. Amewahi kuwa kocha wa Yanga je aliweza kuleta matokeo gani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-88077980165179461932011-02-05T21:00:05.591+03:002011-02-05T21:00:05.591+03:00full time 0-0full time 0-0CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-70859677279046860412011-02-05T18:55:42.871+03:002011-02-05T18:55:42.871+03:00ngoma draw.
Yanga 1 Vs Maji Maji 1
Tumekosa penal...ngoma draw.

Yanga 1 Vs Maji Maji 1
Tumekosa penalti dakika 88
tusubire miujiza ya TimbeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-64042430447737724182011-02-05T17:37:25.485+03:002011-02-05T17:37:25.485+03:00HAKUNA ANYESIKILIZA JAMANI?HAKUNA ANYESIKILIZA JAMANI?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-46941832912593261042011-02-05T17:35:08.068+03:002011-02-05T17:35:08.068+03:00tupeni matokeotupeni matokeoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-20813208911601666862011-02-05T17:33:34.374+03:002011-02-05T17:33:34.374+03:00bado matokeo?bado matokeo?Anonymousnoreply@blogger.com