tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post366728495364668421..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Ligi Kuu ya VodacomUnknownnoreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-81587999412313174552009-08-24T15:16:34.057+03:002009-08-24T15:16:34.057+03:00ana haki huyo condic kungoza yanga sawa nakuongoz...ana haki huyo condic kungoza yanga sawa nakuongoza walevi kila mtu anapwayuka kisa ana domo jiende hamwana shukrani hao hata washinde ,mara mia bado manji nae kwao:Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-84023655131112786902009-08-24T14:45:34.010+03:002009-08-24T14:45:34.010+03:00Breaking News: Kocha wa Yanga amehamua kuondoka ra...Breaking News: Kocha wa Yanga amehamua kuondoka rasmi nchini kesho. Jamani habari ndiyo hiyo. Kwa mtazamano wangu naona mambo siyo mazuri ndani ya timu, wiki chache zilizopita Manji alivunja mkataba wa kumlipia pale New Africa Hotel, tukaona suala la hawa wachezaji wa kulipwa wamegoma kuhamia Jengoni, Jana kocha katoa lawama kuwa anaingiliwa katika upangaji wa timu, jamani hali mbaya hii.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32884588360233021492009-08-24T01:44:21.648+03:002009-08-24T01:44:21.648+03:00hebu simba onyesha mfano basi.hebu simba onyesha mfano basi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-57650015803136718642009-08-24T01:34:25.695+03:002009-08-24T01:34:25.695+03:00naona bora mayanga sasa mkakodi wachezaji wa kike ...naona bora mayanga sasa mkakodi wachezaji wa kike itakuwa afadhaliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-19758080259259857242009-08-23T22:29:13.474+03:002009-08-23T22:29:13.474+03:00Mdau uliyesema Yanga ndiyo ilisawazisha naomba ufa...Mdau uliyesema Yanga ndiyo ilisawazisha naomba ufanye utafiti wa kutosha before posting your comment.

Miaka yote hii blog huwa inatoa results kwa jinsi mchezo unavyoendelea uwanjani.

Ukweli unabaki kwamba Yanga ilitangulia kufunga, kisha Lyon wakasawazisha katika dakika za mwisho.CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-58898952246599706192009-08-23T21:32:46.864+03:002009-08-23T21:32:46.864+03:00CM said wewe vipi, Lyon ndiyo walikuwa wa kwanza k...CM said wewe vipi, Lyon ndiyo walikuwa wa kwanza kupata goli na yanga wamesawazisha, tuwape wadau habari za kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-70226100893032813372009-08-23T18:24:56.188+03:002009-08-23T18:24:56.188+03:00asante kaka ligi bado safari ndefuasante kaka ligi bado safari ndefujohn kubinganoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72432195327437137622009-08-23T18:12:27.051+03:002009-08-23T18:12:27.051+03:00Full time 1-1Full time 1-1CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-52909503351823203232009-08-23T18:04:38.617+03:002009-08-23T18:04:38.617+03:00African Lyon wamesawazisha katika dakika ya 87.
A...African Lyon wamesawazisha katika dakika ya 87.

African Lyon 1 Yanga 1CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-76177558646794275732009-08-23T18:00:07.542+03:002009-08-23T18:00:07.542+03:00Mtibwa 2 Manyema 1
Majimaji 0 Simba 2Mtibwa 2 Manyema 1
Majimaji 0 Simba 2CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-88384804790614421962009-08-23T17:31:29.421+03:002009-08-23T17:31:29.421+03:00asante CM vipi mechi zingine mikoani?asante CM vipi mechi zingine mikoani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-24324880713237397992009-08-23T17:27:27.133+03:002009-08-23T17:27:27.133+03:00dakika ya 51 Yanga wamepata bao la kwanza kupitia ...dakika ya 51 Yanga wamepata bao la kwanza kupitia kwa Jerson tegeteCMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-59802918127633162009-08-23T17:19:28.388+03:002009-08-23T17:19:28.388+03:00vipi matokeo hadi sasavipi matokeo hadi sasaAnonymousnoreply@blogger.com