tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post3778048006075190466..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-73624823566412699132011-06-12T09:29:24.363+03:002011-06-12T09:29:24.363+03:00Mimi pamoja na mashabiki wenzangu tuliopo Usangi t...Mimi pamoja na mashabiki wenzangu tuliopo Usangi tunapenda kuushukuru uongozi wa Yanga pamoja na benchi la ufundi kwa kuhakikisha tunashiriki kagame cup....ni mimi shabiki sugu{Fanuel Gasper...0714359690}.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-24565833761158294872011-06-12T09:21:25.332+03:002011-06-12T09:21:25.332+03:00Mashabiki wa Yanga tusihofu kwani msimu ujao tutac...Mashabiki wa Yanga tusihofu kwani msimu ujao tutachukua ubingwa wa Tanzania bara kwa mara ya 24...hii inatokana na usajili ulivyofanyika kwa ustadi mkubwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-9063355597071555782011-04-10T18:35:56.000+03:002011-04-10T18:35:56.000+03:00cm ahsante hongera wana yanga kwa kurudisha ubingw...cm ahsante hongera wana yanga kwa kurudisha ubingwa wenu kila la kheri sasa viongozi jipangeni upya mtizame wachezaji mnaowahitaji mapemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-49048657348223810932011-04-10T18:10:17.427+03:002011-04-10T18:10:17.427+03:00Yanga Bingwa mpya wa soka wa Tz baada ya kuichapa ...Yanga Bingwa mpya wa soka wa Tz baada ya kuichapa Toto 3-0

Simba nayo imeichapa Majimaji 4-1CMnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-63899763990307590182011-04-10T17:52:36.864+03:002011-04-10T17:52:36.864+03:00Jamaa matokeo bado hayajapatikana tulio mbali mioy...Jamaa matokeo bado hayajapatikana tulio mbali mioyo inaenda mbio tujulisheni mlio na habariAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-3986708291095969652011-04-07T21:12:09.672+03:002011-04-07T21:12:09.672+03:00Yanga inaongoza ligi kwa tofauti ya magoli 22. Ime...Yanga inaongoza ligi kwa tofauti ya magoli 22. Imefunga magoli 29 na kufungwa 7. Goal difference hapo ni (29-7 = 22).

Simba imefunga magoli 36 na kufungwa 15. Gosl difference hapo ni (36-15 =21)

Yanga ina GD ya 22, Simba ina 21CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-30667919365400456482011-04-07T19:28:13.175+03:002011-04-07T19:28:13.175+03:00CM umenichanganya kidogo, msimamo wa Ligi unaonyes...CM umenichanganya kidogo, msimamo wa Ligi unaonyesha Simba katuzidi magoli ya kufunga...labda unieleweshe hizo Goal difference unazosema...Nitashukuru.

Mdau
ItalyAnonymousnoreply@blogger.com