tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post4058941864764517000..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-79280138757787315602008-06-12T09:17:00.000+03:002008-06-12T09:17:00.000+03:00Ni kweli unachokisema,tuangalie sustainability ya ...Ni kweli unachokisema,tuangalie sustainability ya hawa wachezaji,lakini pia lazima ukumbuke kuwa hawa wachezaji wanamalengo yao ya mpira sio kukomea Yanga na pia wanaangalia maslahi.Ukisaini mkataba wa muda mrefu una madhara yake pindi maslahi ya wachezaji yanapopanda hauwezi kudai uongezwe.Kumbuka soka ni ajira na biashara piaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-80048584465454017262008-06-11T23:18:00.000+03:002008-06-11T23:18:00.000+03:00Nafurahi kuwa wapenzi hapa bloguni wana-worry na h...Nafurahi kuwa wapenzi hapa bloguni wana-worry na hizi habari usajili. Jamani tusifurahie tuu kuikomoa Simba, tuangalie pia na sustainability ya hawa wachezaji. Nasikia wote wanasign mkataba wa mwaka mmoja. Kwa Tanzania kulipwa $30,000 kwa mkataba wa mwaka mmoja sio kitu cha kawaida.

Hapo msisahau kuna kufungiwa miezi 6 na kasheshe zingine za uhamisho kat ya Simba na Yanga; kwa hiyo hadi mchezaji anakuja kutulia uwanjani, imebaki miezi 6 mwaka uishe!

Ningefurahi zaidi kama usajili ungelenga wachezaji tutakaokuwa nao kwa miaka 3-4 ijayo, kina Makassy, nk.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-63909954993865099142008-06-11T21:20:00.000+03:002008-06-11T21:20:00.000+03:00tukae chonjo yanga sio zile hela zilizotumika kuwa...tukae chonjo yanga sio zile hela zilizotumika kuwasajili hawa wachezaji ikaleta ugonjwa wa blood pressure kwenye klabu yetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-21419179191839026512008-06-11T15:45:00.000+03:002008-06-11T15:45:00.000+03:00mzee,nakuunga mkono kabisa katika wazo lako.Lakini...mzee,nakuunga mkono kabisa katika wazo lako.Lakini kumbuka katika mtazamo wa international matches(Champions League ya Africa)unahitaji kuwa na wachezaji ambao wako tayari muda wowote,hasa ukizingatia na ligi ya ndani itakua inaendelea,hivyo wachezaji usipokua na wachezaji wengi waliokua tayari,utapata majeruhi huku wakatio utakua unakabiliwa na mechi ngumu mbele yako.Hivyo nafikiri kocha amefikiria hicho,na pia kuwa na wachezaji wawili wa uhakika katika kila namba.Wazo langu la pili ni kuwa,Yanga wanatakiwa kutafuta suluhisho la tatizo la ushambuliaji,kwani ni ugonjwa wa Taifa,nashauri waende hata nchi za magharibi kama vipi,wakalete hata washambuliaji wawili tu wa uhakika.Tutakua tumepata dawa ya tatizo sugu kwani mid fielders tunao tena wa kutosha mwaka huu,hapo KONDIC nampa BIG UP.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-34750816775877840112008-06-11T14:14:00.000+03:002008-06-11T14:14:00.000+03:00Nina mashaka kama tunasajili kwa lengo la kuimaris...Nina mashaka kama tunasajili kwa lengo la kuimarisha timu. Inaonekana kama vile lengo ni kuikomoa Simba. Kitendo cha kuchukua wachezaji zaidi ya watatu kutoka timu moja is not healthy for our team. Ni vizuri tukaepuka kulundika mamluki ndani ya team. Nina hakika, tukija kufungwa na Simba wachezaji hawa watakuwa watuhumiwa wa kwanza.

Mpaka sasa wamesajiliwa Kaseja, Swed, Owino, Nurdin na Mwakingwe. Tunaambiwa pia wanakuja Banka na Machupa. Najiuliza watacheza namba zipi?! Midfield kuna Chuji, Mumbala, Kabanda, Abdi, Bonny, etc. Tuache upuuzi huu.Anonymousnoreply@blogger.com