tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post4763403163537179335..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-22886169863457619712007-10-04T02:04:00.000+03:002007-10-04T02:04:00.000+03:00Huu utaratibu unaoandaliwa utawahusu na wapenzi (w...Huu utaratibu unaoandaliwa utawahusu na wapenzi (wanachama watarajiwa) walio nje ya nchi? Na wale wa mikoani?

Kuwa mwanachama kupitia tawini kuna umuhimu wake naamini, lakini nadhani uanachama wa timu ya mpira (michezo kwa ujumla) hautakiwi kuwa mgumu kuupata. Otherwise, tutawakosa wanachama wasioweza kufuatilia bureaucracy! Watu siku wana mambo mengi mno ya kufanya, kwa hiyo mtu akienda kwenye tawi mara mbili anakuta mwenye kitabu cha kuandika wanachama 'ametoka kidogo', ataondoka moja kwa moja.

Hata uanachama wa CCM ambao zamani ilikuwa lazima uusomee darasa, siku hizi unapatikana kwenye mkutano wa hadhara.

Nadhani (kwa mtazamo wangu) wanachama wapya wangeruhusiwa kuomba unachama popote (makao makuu, kwenye matawi, via email/web?, etc). Mtu akishatimiza masharti ya kulipa ada na kupewa uanachama ndo aambiwe tawi lake la karibu lilipo ili ashiriki pale.

Ushiriki kwenye tawi uwe muhumu / lazima pale mtu anapotaka kugombea uongozi tawini, kwa mfano.

JM.Anonymousnoreply@blogger.com