tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post4892737865454176848..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-26549750974715149552010-04-19T10:08:41.511+03:002010-04-19T10:08:41.511+03:00Watu wanakazana kurudisha magoli yeye anakazana ku...Watu wanakazana kurudisha magoli yeye anakazana kuruhusu magoli ya Wapinzani wetu,huu si us***e huu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-17574857417868257542010-04-19T10:07:26.589+03:002010-04-19T10:07:26.589+03:00Huyo Obren hana issue wala nini,aende akafie popot...Huyo Obren hana issue wala nini,aende akafie popote anapojisikia kwani jana ameni'bore sana....atafungwaje magoli ya kizembe namna ile?
Ku****e zake!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-40584484436979653612010-04-05T16:03:39.949+03:002010-04-05T16:03:39.949+03:00yeboyebo bado mpo karne ya ujima,wachezaji wenu ha...yeboyebo bado mpo karne ya ujima,wachezaji wenu hata wakipata timu hao viongozi wenu mbumbumbbu wanawabania kisa mpaka mcheze na simba ndo watoe ruksa,mfano mzuri tegete kapata timu sweden yanga imegoma kutoa kibari mpaka acheze mechi ya simba,bila tegete hamuwezi kushinda?hamkeni waacheni vijana wajitafutie masoko nje plz,simba ilimruhusu boban week moja kabla ya mchezo wa yanga kwenda ktk majaribio na tuliwatungua kama kawa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-63797162131182457592010-03-27T17:48:37.156+03:002010-03-27T17:48:37.156+03:00kwani wachezaji wa Simba wanachezea timu za maana?...kwani wachezaji wa Simba wanachezea timu za maana?? Timu za dola 500?
Wachezaji waliopitia Yanga ndio waliowahi chezea timu za maana angalia Nonda Shaban.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-675341875529278642010-03-27T17:18:21.562+03:002010-03-27T17:18:21.562+03:00Wachezaji wa watani wetu wazuri zaidi ya kwetu kaz...Wachezaji wa watani wetu wazuri zaidi ya kwetu kazi misifa kwenye magazeti lakini ukweli ukidhihiri hamna lolote.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15647583784133104522010-03-26T18:54:39.464+03:002010-03-26T18:54:39.464+03:00Kwanini wachezaji wetu wa Yanga mara nyingi huwa w...Kwanini wachezaji wetu wa Yanga mara nyingi huwa wanashidwa kwenye majaribio tofauti na wale wa Watani zetu ambao huwa wanapeta!
Naomba wadau tulijadili hili ili kipi kifanyike nao wao waweae kufanikiwa ktk majaribio yao japo hivyo viligi daraja la kwanza sio mbaya kuanzia.
Kazi kwenu Wadau?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-88072527823806000952010-03-25T09:00:27.290+03:002010-03-25T09:00:27.290+03:00Mhh hapa kuna walakini na mdudu yuko ndani ya Yang...Mhh hapa kuna walakini na mdudu yuko ndani ya Yanga wenyewe mpaka siku patakaposafishwa pale itaendelea kuwa hivi hiviAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-55008704784487258092010-03-24T20:34:43.021+03:002010-03-24T20:34:43.021+03:00Msianze hapa, kwani mlikuwa hamjui kuwa mikataba y...Msianze hapa, kwani mlikuwa hamjui kuwa mikataba yao ilikuwa inakaribia kwisha? kama bado mlikuwa mnawahitaji kwanini hamkuongeza mikataba yao na kuboresha maslahi yao? Acheni uswahili waacheni wakatafute maisha sehemu nyingine YEBOYEBO WAMEFULIA!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-24215871352436041712010-03-24T15:57:47.176+03:002010-03-24T15:57:47.176+03:00duh! wachezaji wetu vipi?! mbona katika kipindi hi...duh! wachezaji wetu vipi?! mbona katika kipindi hiki ndio wanapelekwa nje?! maana baada ya mechi ya mnyama kukaribia ndio mipango inaiva. inabidi kuliangalia kwa makini japo ni kwa maslahi yao. Yanga kwanza.maana kama Obren haieleweki anakwenda wapi kwa muda gani?! viongozi nao wawe makini maana haya masuala ya mikataba yasiwe kwa Yanga tu. inasemekana mgosi na Okwi mikataba imekwisha na Simba mbn wenzetu wako kimya?! na wachezaji wanatumiwa?!
VIONGOZI KUWENI MAKINI!Graynoreply@blogger.com