tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post4956158311864926607..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Yanga wamgeuzia kibao TengaUnknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-8693297828581048442008-08-03T03:58:00.000+03:002008-08-03T03:58:00.000+03:00nawaomba vingozi waliotuangusha kwa hili wajiudhul...nawaomba vingozi waliotuangusha kwa hili wajiudhulu mbele ya wananchi na walipe fidia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-13376667627174229042008-08-01T23:16:00.000+03:002008-08-01T23:16:00.000+03:00Hii ni sawa na mtoto kuangua maembe shambani kwa h...Hii ni sawa na mtoto kuangua maembe shambani kwa hakimu wa wilaya, kisha hakimu huyo akamhukumu mtoto kifungo cha maisha, ili kumfundisha yeye na watoto wengine!

Kweli mtoto ana kosa, lakini kosa la kuiba vitu kama maembe lazima liwepo kwenye kanuni za adhabu, bila hivyo tukiacha mahakimu na majaji watoe adhamu kulingana na 'ukubwa wa kosa' au 'aibu waliyopata' haitashangaza siku moja kusikia adhabu za vifo kwa vibaka wa simu!

Zack,Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-23781645966463944972008-08-01T22:21:00.000+03:002008-08-01T22:21:00.000+03:00Yanga ina makosa kutopeleka timu uwanjani... na in...Yanga ina makosa kutopeleka timu uwanjani... na inastahili Adhabu kwa kosa hilo kama sheria za CECAFA zinavyosema......
ila unapofanya Kosa lolote kuna adhabu inayojulikana kuwa timu itapata na kila kitu kipo katika Katiba za vyama vinavyoongoza soka hata FIFA yeynyewe ina katiba yake timu isipokwenda uwanjani kuna adhabu iliyopangwa ambayo inajulikana....
Sasa Tukiwaachia TFF na CECAFA watoe adhabu wanavyoona hatutashangaa siku wakiamua KUIFUTA kabisa timu maana wanakuwa na uongozi usio na mipaka na maamuzi ya jazba yasiyofuata misingi yeyote ile ...,
Kila Kosa lina adhabu yake cha kujiuliza ni kuwa hii TFF wameitoa wapiiii? au ni njia ya kuwapatia SIMBA nafasi ya kushiriki michezo ya kimataifa?
TFF msijifanye mko juu ya sheria nyie wenyewe mko madarakani kufuata katiba yenu na sheria mlizojiwekea....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-74017549675308096822008-08-01T21:31:00.000+03:002008-08-01T21:31:00.000+03:00HUKUMU YA KONDOO NA HAKIMU NI FISI .HUKUMU YA KONDOO NA HAKIMU NI FISI .Anonymousnoreply@blogger.com