tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post6013587747596943481..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-44800438303060870592007-10-17T09:35:00.000+03:002007-10-17T09:35:00.000+03:00Maoni yangu kuhusu kitendo ch Mwalala yanafanana n...Maoni yangu kuhusu kitendo ch Mwalala yanafanana na yele niliyoyatoa kuhusiana na kufungiwa kwa Athumani Iddi Chuji. Ni upuuzi kwa mchezaji kumtolea lugha chafu mwamuzi huku ukijua kuwa kwa kufanya hivyo, si tu hutabadili uamuzi aliokwisha kuutoa, bali pia utaiathiri timu endapo utapewa kadi. Ni vizuri uongozi ukaanza kuwabana wachezaji wanaopewa kadi za kijinga kwa kuwakata mishahara. Timu nyingi za Ulaya zinafanya hivi. Fikiria ni jinsi gani timu iliathirika baada ya Mwalala kutolewa.Anonymousnoreply@blogger.com