tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post6236706066435688645..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger14125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-73051402213456162682009-11-06T16:36:48.030+03:002009-11-06T16:36:48.030+03:00CM mambo ninahoja binafsi naomba niiwasilishe kwak...CM mambo ninahoja binafsi naomba niiwasilishe kwako kama inawezekana,unaweza kupata link ya sisi tuwe tunasoma yale magazeti yetu ya yanga humu ndani ili tujue nini kinaendelea kilabuni kwetu,hii itawasaidia wale wenzetu waliokuwa nje ya nchi kujua nini kinaendelea katika klabu yao ya yanga,naomba kutoa hojaCM USIWE KIMYA SANA BABAA! NAOMBA KUWASILISHA!Tinanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32349788528925249822009-11-06T09:04:38.604+03:002009-11-06T09:04:38.604+03:00Nyie mlimfunga???? wacha majungu.Mpira wetu bado k...Nyie mlimfunga???? wacha majungu.Mpira wetu bado kwa Misri.Maximo sio kocha wa kubadili timu .Atafutwe kocha mwingine.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-67052528737599848172009-11-06T00:17:23.590+03:002009-11-06T00:17:23.590+03:00timu ya maximo ati golkipa ni yule jammaa aliyefun...timu ya maximo ati golkipa ni yule jammaa aliyefungwa na simbaaaaaaaa goli 4Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-84832309598435937002009-11-05T21:21:38.926+03:002009-11-05T21:21:38.926+03:00tumelala kweli 4 kibaotumelala kweli 4 kibaoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-64486083054795038172009-11-05T21:17:39.703+03:002009-11-05T21:17:39.703+03:00MISRI 4 TANAZIA 1 KIPINDI CHA KWANZAMISRI 4 TANAZIA 1 KIPINDI CHA KWANZAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-46446984753145280852009-11-05T10:57:17.305+03:002009-11-05T10:57:17.305+03:00cm mambo ninahoja binafsi naomba niiwasilishe kwak...cm mambo ninahoja binafsi naomba niiwasilishe kwako kama inawezekana,unaweza kupata link ya sisi tuwe tunasoma yale magazeti yetu ya yanga humu ndani ili tujue nini kinaendelea kilabuni kwetu,hii itawasaidia wale wenzetu waliokuwa nje ya nchi kujua nini kinaendelea katika klabu yao ya yanga,naomba kutoa hojaCM USIWE KIMYA SANA BABAA! NAOMBA KUWASILISHA!Tinanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-822239447467446392009-11-04T10:53:59.026+03:002009-11-04T10:53:59.026+03:00Yebo yebo hoyeeeeeeeeeeeeee! na mzee wenu Minjino!...Yebo yebo hoyeeeeeeeeeeeeee! na mzee wenu Minjino! hahha mtoeni ndo mtaifunga Simba. poleni yeboyebo.<br /><br />Mdau SimbaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28824288818494519942009-11-02T15:19:05.525+03:002009-11-02T15:19:05.525+03:00Pamoja na kuumia kwa kichapo lakini nimefurahi kwa...Pamoja na kuumia kwa kichapo lakini nimefurahi kwamba wametufunga na itasaidia labda kujifunza lakini pia kitendo cha wao kubamiza wakiwa 10 kimesaidia kutoa picha kwamba kupungukiwa mchezaji mmoja haina maana kwamba ndio timu itafungwa, kwa wanaokumbuka msimu uliopita mechi ya kwanza ndugu zete hawa walilalamika kwamba walifungwa kwa kuwa beki wao alioneshwa kadi nyekundu sasa je safari hii mbona wameshinda wakiwa pungufu? Tuacheni visingizio visivyokuwa na msingi pale tunaposhindwa mpira unahitaji maandalizi na seriousness vitu ambavyo viliigharimu simba msimu uliopoita na msimu huu vinaigharimu yanga. Swali lingine ambalo wa simba ningependa kuwauliza ni hili mwaka jana bao la Mwalala mlisema ni la kuotea hivi kuna tofauti gani 'kwa wale wanaofatilia mchezo huu wa kabumbu' kati ya bao la Mwalala na la Mgosi juzi, narudia tena kusema tuwe wanamichezo wa kweli tuacheni visingizio visivyokuwa na maana tunaposhindwa mara oooh wanatumia dawa za kuongeza nguvu, mara oooh wanabebwa. Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.Kwa wana yanga wenzangu sio siri tunahitaji kazi ya ziada kurudi katika mstari manake inashangaza kuona mchezaji aliyewaacha wenzie mbaaali kwa magoli msimu uliopita msimu huu mechi kumi hata shuti moja la maana hakuna.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-85661485223889406912009-11-02T12:23:19.882+03:002009-11-02T12:23:19.882+03:00Poleni sana wana yanga, ila kwa kweli japo tumefun...Poleni sana wana yanga, ila kwa kweli japo tumefungwa lakini kipindi cha pili nilikuwapo uwanjani tulijitahidi sema ndio hivyo makosa madigo madogo ambayo yanahitaji marekebisho,kila la kheri dar young african katika mechi ya mwisho asiekubali kushindwa si mshindani.MUNGU IBARIKI DAR YOUNG AFRICAN!Tinanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72743881984575775412009-11-01T12:45:48.107+03:002009-11-01T12:45:48.107+03:00Poleni YaboYebo. Mliambiwa lakini mkawa wabishi. M...Poleni YaboYebo. Mliambiwa lakini mkawa wabishi. Mwaka huu ni kichapo kwa kwenda mbele tu! Aluuuuu!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-61866766779774058742009-11-01T00:51:11.986+03:002009-11-01T00:51:11.986+03:00wewe unatakia nini? umetoa mchango wako kwa simba ...wewe unatakia nini? umetoa mchango wako kwa simba au mdomo mali yako?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-75371974531198769532009-10-31T22:51:16.258+03:002009-10-31T22:51:16.258+03:00pole yeboyebo,ila msiba ni wakujitakia ,hivi hayo ...pole yeboyebo,ila msiba ni wakujitakia ,hivi hayo machezaji 10 ya nje mliyoysajiri ya kazi gani wakati viwango zero,tzn tuna wachezaji wazuri mara kumi ya hao ,kwa nn msitumie hayo mamilioni kusajiri vijana wa nyumbani wenye gharama dogo na ufanisi mkubwa kuliko hao akina mbami analipwa usd 1000 hakuna alifanyalo ,jifunzeni kutokana na makosaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-44766078417458608232009-10-31T20:09:20.603+03:002009-10-31T20:09:20.603+03:00Poleni ndugu zangu wa Jangwani.Poleni ndugu zangu wa Jangwani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-8374206235305836092009-10-31T19:53:50.498+03:002009-10-31T19:53:50.498+03:00HONGERA SIMBA,SASA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA ...HONGERA SIMBA,SASA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA YETU.Anonymousnoreply@blogger.com