tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post6349758806934946509..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-87970050974002442302008-08-05T14:37:00.000+03:002008-08-05T14:37:00.000+03:00we anon wa 8.32.00 yanga yako ya wapi?ah nimekumbu...we anon wa 8.32.00 yanga yako ya wapi?

ah nimekumbuka. yanga original utawajua tu na wale wanaojikamua kwenye blog hii utawajua tu kutokana na hoja zao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32211917359147077022008-08-05T08:32:00.000+03:002008-08-05T08:32:00.000+03:00Acha kutukana we jamaa hapo juu. Unatuharibia sifa...Acha kutukana we jamaa hapo juu. Unatuharibia sifa yetu wanayanga. Ukweli ni kuwa timu yetu imetia aibu kuogopa kuingia uwanjani. Adhabu tuliyoipata ni sahihi. Ngoja tuteseke. Si tuliogopa kufungwa uwanjani, sasa na adhabu tunaiogopa!! Hivyo kweli sisi wanaume????!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15040112313926083932008-08-05T00:41:00.000+03:002008-08-05T00:41:00.000+03:00ah ile rufaaaaaa bado tuuuuuu,labda mwaka uuuuujaa...ah ile rufaaaaaa bado tuuuuuu,labda mwaka uuuuujaaaaooooo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72361496064385826052008-08-04T18:21:00.000+03:002008-08-04T18:21:00.000+03:00SISI YANGA TUUNGANE ILI KLABU YETU IENDELEE,TUACHE...SISI YANGA TUUNGANE ILI KLABU YETU IENDELEE,TUACHE MALUMBANO KWASABABU ADUI ANAPATA NJIA KUTUTENGANISHA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-9281685130003898702008-08-04T17:54:00.000+03:002008-08-04T17:54:00.000+03:00Watakimbia wapenda ubishi kama wewe (Anony - 5:29:...Watakimbia wapenda ubishi kama wewe (Anony - 5:29:00 PM).

Wapenzi wa Yanga watabaki hapa hapa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-36792507407447492422008-08-04T17:29:00.000+03:002008-08-04T17:29:00.000+03:00baada ya rufaa wengi wataikimbia blog hiibaada ya rufaa wengi wataikimbia blog hiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-77813200198323169702008-08-04T16:41:00.000+03:002008-08-04T16:41:00.000+03:00WanaYanga wa kweli wako kimya wamesubiri matokeo y...WanaYanga wa kweli wako kimya wamesubiri matokeo ya rufaa. Wanaopiga kelele hapa tunawaelewa.

Suala sio Yanga ilikosea ama la. Ilikosea sawa, lakini kanuni za adhabu zilifuatwa?

Tupeni habari za rufaa zikitoka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-29725332701882841542008-08-04T16:14:00.000+03:002008-08-04T16:14:00.000+03:00sisi wanayanga tumekerwa sana na hili jambo ,kwa h...sisi wanayanga tumekerwa sana na hili jambo ,kwa hiyo hatuta waunga mkono kwa lolote ,hatutaki kuongozwa na wachezaji au vingozi wanaoogopa kwenda uwanjani kupigana.byeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-55483204097902710772008-08-04T11:48:00.000+03:002008-08-04T11:48:00.000+03:00Upuuzi mtupu. Mfa maji haishi kutweta!Upuuzi mtupu. Mfa maji haishi kutweta!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32259326521479066102008-08-03T03:55:00.000+03:002008-08-03T03:55:00.000+03:00hamna lolote ,mnatwanga maji kwenye kinu.sasa muwa...hamna lolote ,mnatwanga maji kwenye kinu.sasa muwawajibishe vingozi walipie makosa ,mimi nafikiria mvunje klabu mrudi kwenye siasa.Anonymousnoreply@blogger.com