tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post6892436307770395271..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Ligi ya Mabingwa AfrikaUnknownnoreply@blogger.comBlogger23125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-18332036001614292362010-03-01T14:57:01.668+03:002010-03-01T14:57:01.668+03:00Kama inawezekana webmaster fanya uchambuzi kabla c...Kama inawezekana webmaster fanya uchambuzi kabla comment haijawa published, ni kweli wote tuna akili timamu lakini tunatofautiana kwa uwezo wa kupambanua na kustahimili vitu. Angalia comments zenye uchochezi wa aina yeyote usizitoe kwani wengine wana hasira za karibu na ndio tunaona matusi ndani ya blog yetu. Tumesema hii ni blog ya wanachama na wapenzi wa yanga, hivyo wewe kama si mmoja wao soma na kisha acha. Tunapokea ushauri wenye kujenga lakini sio kebehi.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/02266989133773838245noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-73924885030701722512010-02-27T20:03:07.794+03:002010-02-27T20:03:07.794+03:00sasa mbona webmaster unaacha watu kuweka matokeo y...sasa mbona webmaster unaacha watu kuweka matokeo ya uwöngo humu.nilikubali tumeshnda.ah yanga aibu tupuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-11959744331392110052010-02-27T19:04:08.278+03:002010-02-27T19:04:08.278+03:00Jamani tumeyaaga? naona kimya sana.Jamani tumeyaaga? naona kimya sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-54876437253553976122010-02-27T19:04:02.688+03:002010-02-27T19:04:02.688+03:00Yanga imetolewa katika michuano ya Klabu bingwa ba...Yanga imetolewa katika michuano ya Klabu bingwa baada ya kufungwa 1-0 leo.CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-10833679995012599162010-02-27T18:51:54.493+03:002010-02-27T18:51:54.493+03:00SGM na wadau wengine vuta subira kidogo tunasubiri...SGM na wadau wengine vuta subira kidogo tunasubiri kipindi cha michezo kitaanza saa 1 kamili ya hukuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-8739871109079776812010-02-27T18:51:24.950+03:002010-02-27T18:51:24.950+03:00cm toa mzikicm toa mzikiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-47507439671412776222010-02-27T18:41:24.146+03:002010-02-27T18:41:24.146+03:00matokeo?matokeo?Unknownhttps://www.blogger.com/profile/14101929658670206768noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-21953726866690561642010-02-27T18:37:41.355+03:002010-02-27T18:37:41.355+03:00Duh noma tumetolewa Lupopo watacheza na Dynamo ya ...Duh noma tumetolewa Lupopo watacheza na Dynamo ya Zimbambwe round inayofuata hata hivyo tumejitahidi sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-43921321423888896532010-02-27T18:35:04.997+03:002010-02-27T18:35:04.997+03:00duh CM nalia hapa kifaransa haklpandi naona maluwe...duh CM nalia hapa kifaransa haklpandi naona maluweluwe tuu-SGM<br />Hakuna radio inatoa updates huko kwani ngapingapi sasa-SGMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-51991348103680650822010-02-27T18:31:23.414+03:002010-02-27T18:31:23.414+03:00Mpira hautangazwi na kituo chochote hapa TZ.
Tuna...Mpira hautangazwi na kituo chochote hapa TZ.<br /><br />Tunashukuru kwa mdau huyo aliyetoa link ya Radio Okapi - Kinshasa ambao wanatangaza game hiyo kwa KifaransaCMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-47259729591772362992010-02-27T18:23:15.195+03:002010-02-27T18:23:15.195+03:00Nasikiliza kifaransa lakini sielewi. TBC hawangazi...Nasikiliza kifaransa lakini sielewi. TBC hawangazi kwani CM?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-83971148381941714892010-02-27T18:20:15.937+03:002010-02-27T18:20:15.937+03:00Mwanangu Tegete anapiga bao la 3 dakika 62, sasa n...Mwanangu Tegete anapiga bao la 3 dakika 62, sasa ni 3-1Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-31148403928414815642010-02-27T18:20:14.687+03:002010-02-27T18:20:14.687+03:00Mwanangu Tegete anapiga bao la 3 dakika 62, sasa n...Mwanangu Tegete anapiga bao la 3 dakika 62, sasa ni 3-1Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/09575009376838357858noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-10314290466136666742010-02-27T18:18:46.691+03:002010-02-27T18:18:46.691+03:00Ni dakika ya 48 kipindi cha pili, tuko mbele kwa 2...Ni dakika ya 48 kipindi cha pili, tuko mbele kwa 2-1, tunahitaji tofauti ya magoli 2 ili tusonge mbeleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-63866060810801703002010-02-27T18:01:27.777+03:002010-02-27T18:01:27.777+03:00Mechi inatangazwa live kwenye linki hii kama kifar...Mechi inatangazwa live kwenye linki hii kama kifaransa kinapanda... http://www.surfmusic.de/radio-station/radio-okapi,5147.htmlAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-65531505575684796142010-02-27T17:58:31.570+03:002010-02-27T17:58:31.570+03:00tupeni matokeo ya ukweli jamani.tupeni matokeo ya ukweli jamani.tinanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-10619453518016027842010-02-27T17:49:41.815+03:002010-02-27T17:49:41.815+03:00Bado matokeo ni 1-0 mdau hapo juu wewe Simba nini...Bado matokeo ni 1-0 mdau hapo juu wewe Simba nini?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-1465662803888411662010-02-27T17:43:37.072+03:002010-02-27T17:43:37.072+03:00jamaa wamesawazisha.1-1jamaa wamesawazisha.1-1Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-37913244816554528502010-02-27T17:42:14.491+03:002010-02-27T17:42:14.491+03:00cm hata kama tumelambwa toa rada kaka wengine tuko...cm hata kama tumelambwa toa rada kaka wengine tuko mbali na bongo wewe ndio luninga wetuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-45717575704378368152010-02-27T17:38:32.839+03:002010-02-27T17:38:32.839+03:00cm vipi matokeo bado haujapata?cm vipi matokeo bado haujapata?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-82090888232447065072010-02-27T17:27:08.740+03:002010-02-27T17:27:08.740+03:00mpira umeanza saa 11 hivi iwe halftime sasa tunaon...mpira umeanza saa 11 hivi iwe halftime sasa tunaongopeanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-30395817491539877382010-02-27T17:25:21.252+03:002010-02-27T17:25:21.252+03:00cm kaka tuko mbali huku toa rada za kweli maana ...cm kaka tuko mbali huku toa rada za kweli maana humu wanyama kibaoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-11652412812774611042010-02-27T17:20:32.101+03:002010-02-27T17:20:32.101+03:00half time tunaongoza 1-0.goli kafunga tegete.tunac...half time tunaongoza 1-0.goli kafunga tegete.tunacheza vizuri.ushindi upo.Anonymousnoreply@blogger.com