tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post7261055681261755369..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-4994111924108523202009-08-10T17:36:46.088+03:002009-08-10T17:36:46.088+03:00Kwanza nakushukuru kwa kutuhabarisha tena wana Yan...Kwanza nakushukuru kwa kutuhabarisha tena wana Yanga kile kinachoendelea katika klabu yetu.<br />Mimi ninavyo ona kwa mtazamo wangu tuna tatizo kwa mwenyekiti wetu na timu yake ya uongozi.Swala la kushindwa kupata wanachama wakutosha halina maana kabisa kwa sababu hakuna hatua zozote zilizochukuliwa ili kupata wanachama hao 1000. Wao wanahangaika hapo Dar tu ili kupata wanachama, huku mikoani kuna watu tele wenye mapenzi na Yanga lakini hakuna juhudi zozote zinazo fanyika ilikuwapata. Kusema kweli ndugu zetu bado wanaongoza kama zamani tu (business as usual).Lakini pia ninacho ona ni kuwa hawa ndugu zetu hasa mwenyekiti hawapendi swala la Kampuni kwa hiyo wanatumia kila hila kuhakikisha halifanikiwi kabisa.Kwa watu makini walitaiwa kutumia nafasi hii ya ufadhili kuijenga Yanga kwa kuwekeza, lakini kinachoonekana jamaa wamelala hata hawana habari na kinacho endelea. Kwa mtindo huu hata huo ukarabati wa mamilioni hauna maana kabisa kwa sababu baada ya muda kutabaki magofu tena.Wamejaa hofu,hawataki kuajiri watendaji, ni hofu tupu.Jamani Manji naye ni binadamu anauchungu na fedha zake,hebu tumuonee huruma.Alipe mishahara yote,ukarabati wa jengo,uwanja.FOR SURE THIS IS THE FIRST AND LAST CHANCE OPPORTUNITY FOR THE CLUB IT WILL NOT HAPPEN AGAIN.Kwa nini tunaipoteza fursa hii?Masebenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-88399892728866238782009-08-05T10:22:57.931+03:002009-08-05T10:22:57.931+03:00nashangazwa na Uongozi huu wa Mwenyekiti kuhusu Ta...nashangazwa na Uongozi huu wa Mwenyekiti kuhusu Taarifa za Club. Timu inafanya vizuri ni vema wanachama wakaitwa na kupewa taarifa kamili.<br /> pamoja na hilo ni vema tukajua wanachama wangapi wamelipia fedha za uanachama na kiasi gani kimepatikana. nasikitishwa na hali hii.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07564830742482570621noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-83929963442159562812009-08-05T10:22:55.388+03:002009-08-05T10:22:55.388+03:00nashangazwa na Uongozi huu wa Mwenyekiti kuhusu Ta...nashangazwa na Uongozi huu wa Mwenyekiti kuhusu Taarifa za Club. Timu inafanya vizuri ni vema wanachama wakaitwa na kupewa taarifa kamili.<br /> pamoja na hilo ni vema tukajua wanachama wangapi wamelipia fedha za uanachama na kiasi gani kimepatikana. nasikitishwa na hali hii.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/07564830742482570621noreply@blogger.com