tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8387811527412983763..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28358467731172796352007-05-29T12:44:00.000+03:002007-05-29T12:44:00.000+03:00Huyo Patrick Fata, anayegombea Umakamu Mwenyekiti ...Huyo Patrick Fata, anayegombea Umakamu Mwenyekiti na Ukatibu Mipango mbona naambiwa ya kuwa HANA kabisa uzoefu na hizo nafasi anazogombea kwani hata wafanyakazi wenziwe wa Benki Kuu ya Tanzania wanasema hajawahi kuwa kiongozi wa ngazi yoyote pale ofisini kwake !!! Sasa tukimpa hizo nafasi anatuahakikishaje kama ATAZIMUDU ?????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-5142397408855257752007-05-28T17:04:00.000+03:002007-05-28T17:04:00.000+03:00JM nakushukuru sana kwa michango yako mbalimbali a...JM nakushukuru sana kwa michango yako mbalimbali ambayo kusema kweli huwa inanijenga sana.

Nimejaribu kutafuta hilo gazeti la Sauti ya Jangwani nimeona wametoa mawasiliano yao na nimefanikiwa kupata email yao (jangwani2007@yahoo.com) kwa hiyo kama mdau yeyote atafanya mawasiliano nao au vinginevyo asisite kudondosha data hapa bloguni

Kuhusu hiyo makala iliyopo kwenye TZ Daima naona kama wanapiga kampeni sehemu fulani.CMhttps://www.blogger.com/profile/11922540201570935074noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-26651972348766209382007-05-28T15:32:00.000+03:002007-05-28T15:32:00.000+03:00Hapa kuna maelezo kidogo ya baadhi ya Wagombea. Ni...Hapa kuna maelezo kidogo ya baadhi ya Wagombea. Ni kutoka gazeti la Tanzania Daima la leo:

http://www.freemedia.co.tz/daima/2007/5/28/makala2.php

Sina hakika kama hakuwa akipigiwa debe mtu, lakini its worth reading (inafaa kusoma..).

JM.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-19290151474675666222007-05-28T12:10:00.000+03:002007-05-28T12:10:00.000+03:00Ingekuwa vizuri wagombea wenyewe wakapitia hapa na...Ingekuwa vizuri wagombea wenyewe wakapitia hapa na kuweka sera zao hadharani. Lakini huenda wapenzi wengi wa hapa nyumbani hawaijui hii blog 'yetu'.

Kuna gazeti pale klabuni nadhani linaitwa 'Sauti ya Jangwani' kama sijakosea. Sasa kama unaweza pata email ya mhariri unaweza kumpa details za hii blog akachapisha kwenye hilo gazeti, ili viongozi na wanachama nao wawe wanatembelea hapa, nakutoa maoni yao.

JM.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-75008289066723117942007-05-28T11:10:00.000+03:002007-05-28T11:10:00.000+03:00Nasikia kuna wanachama kibao wa Yanga wenye kadi z...Nasikia kuna wanachama kibao wa Yanga wenye kadi za miaka ya 1960 ambao hawakujitokeza kuhakikiwa ili wafanye uchaguzi lakini waliposikia mshiko wa sh. 20,000/- wakajitokeza kuchukua?

Kama ni kweli basi nadhani viongozi wapya wana kazi kubwa ya kufanya. Maana wanachama wanatakiwa kwenda klabuni kutimiza wajibu na haki yao ya kupiga kura hata kama hawaahidiwa kulipwa kitu. Sasa kumbe wako wengi na kadi wanazo lakini hawajitokezi?

Jamani wanachama tunatakiwa kupeleka hela klabuni, sio kwenda kuchukua hela... Hii elimu mpaka ituingie akilini itachukua muda.Anonymousnoreply@blogger.com