tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8469848474213393539..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-3746762798903072192010-05-15T10:01:58.028+03:002010-05-15T10:01:58.028+03:00We John wewe, ulinamatingo fijo, yaani wensio uwak...We John wewe, ulinamatingo fijo, yaani wensio uwakaribishe kwa mikono mitano mitano hifi hifi! mma! ugujova gya utunguru!Unknownhttps://www.blogger.com/profile/02266989133773838245noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-11536071795842683162010-05-14T11:56:14.903+03:002010-05-14T11:56:14.903+03:00hii tabia ya kutoonekana hapa bloguni sio jambo la...hii tabia ya kutoonekana hapa bloguni sio jambo la kiungwana kwa kweli. mpira uchezwe misri sisi huku tanzania hatujuliani hali...... karibuni jamani tunawakaribisha kwa mikono mitano-mitanoJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-28171177036488641402010-05-13T08:27:02.073+03:002010-05-13T08:27:02.073+03:00walizidi kujiskia wakati matokeo huwa wanayapanga ...walizidi kujiskia wakati matokeo huwa wanayapanga kwa kununua mechi.Hivi sisi(Yanga) mwaka huu mbona tunataka tena kupoteza ubingwa mapema kabla ligi haijaanza.USAJILI unataka kuanza kuwa wa wasiwasi Manji anagoma goma.ni nafuu tupige harambee ya uSAJILIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-57192385399865784092010-05-12T09:45:04.359+03:002010-05-12T09:45:04.359+03:00ushindi wao mara nyingi ni mipango ya nje ya uwanj...ushindi wao mara nyingi ni mipango ya nje ya uwanja. sasa wamekwenda kwa waarab wameshindwa kufanya dhuluma matokeo yake wakala kibano cha mkono mzima. na hawana la kusema kwa kuwa mpira ulionyeshwa kama ulivyo. <br />watu ha ha a ah ha ah! haya sasa wakajenge choo chao pale klabuni kwao!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-66414636128214198902010-05-11T21:19:48.700+03:002010-05-11T21:19:48.700+03:00oh ho wako wapi?jamaani lakini huu si uungwana ,ka...oh ho wako wapi?jamaani lakini huu si uungwana ,kabla ya hii five walikua wanaspend tu money kwenda kwenye internet kutuangalia lakini sasa biashara ya internet imekufa angalau mpaka kagame.eti waliakua wanahesabu pasi za ahli bila kusita 1,2,3,4,5,----14.sasa kuhesabu hizo tano kigugumizi kibao.mtakoma.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16495153223980934522010-05-11T14:25:40.516+03:002010-05-11T14:25:40.516+03:00AAAHHHHH Kumbe dawa yao ni kuwaleta waarabu mara t...AAAHHHHH Kumbe dawa yao ni kuwaleta waarabu mara tano wanahama wenyewe. Tumekuwa tukiwafukuza haikuwezekana sasa haooo wametimua wenyewe. Huko kwao miaka 15 giza, ala hawa watu vipi.Kumbe ofisi pia wanaisikia kwenye vyombo vya habari. Mungu wangu.Eti hata wachezaji hawajui yalipo makao makuu ya klabu. Maharage amewaumbua kwelikweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-75597125227583785212010-05-11T01:52:26.703+03:002010-05-11T01:52:26.703+03:00jamani mupo manaake sioni kama mmeandika kitu fula...jamani mupo manaake sioni kama mmeandika kitu fulani lakini karibu uchungulie tunawakaribisha kwa mikono mitano mitano.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-412347304803742832010-05-11T00:37:02.414+03:002010-05-11T00:37:02.414+03:00tano tano tano tano tano tanotano tano tano tano tano tanoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-71321462696004731022010-05-11T00:36:05.485+03:002010-05-11T00:36:05.485+03:00tano tano tano,tano,5,5,5,5,5,5,5,sasa wamemleta m...tano tano tano,tano,5,5,5,5,5,5,5,sasa wamemleta maharage asamahani rage haya tuone 5<five,five ,fiveAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-81028530182004487552010-05-10T19:38:19.471+03:002010-05-10T19:38:19.471+03:00hawana haya hawa mara ngapi tunawambia waende kwen...hawana haya hawa mara ngapi tunawambia waende kwenye blog yao lakini msione kimya wamepewa kazi ya kusafisha vyoo klabuni na rageAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-45741921472301984852010-05-10T19:34:49.985+03:002010-05-10T19:34:49.985+03:00si kuhesabu magoli tu mie nimeona mpira live nawas...si kuhesabu magoli tu mie nimeona mpira live nawasikia simba kwenye magazeti/ internet tu nimeshangaa vipi waliifunga haddod dar huko misri hata pasi walikuwa wanawapa maadui na goli la nne hata angekuwa kipofu angaliona jambo lilonishangaza hata mipira ya kutupa walikuwa wantupia hadood ay nje lakini siwalaumu maana uwanja wa hadood ni njano nakijani labda uliwaleweshaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-71589221165835753322010-05-10T16:12:15.602+03:002010-05-10T16:12:15.602+03:00ndiyo vilivyo walikua wanahesabu pasi za al ahli w...ndiyo vilivyo walikua wanahesabu pasi za al ahli wakati anacheza na yanga sasa wahesabu hizo goooooooliiiiiiii.wasaalaam.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-86206851142546781242010-05-10T14:26:55.361+03:002010-05-10T14:26:55.361+03:00SASA KIMYAAAAAAAAAAASASA KIMYAAAAAAAAAAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-26650136847759989172010-05-10T14:24:43.117+03:002010-05-10T14:24:43.117+03:00Na yule golikipa maarufu hakuwepo wakati wakikabid...Na yule golikipa maarufu hakuwepo wakati wakikabidhiwa mkono kamili.Huyu ndiye tuna lilia aje kuiokoa Taifa stars kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-69776013481607737672010-05-10T14:22:18.675+03:002010-05-10T14:22:18.675+03:00Hao Waarabu wenyewe nafasi yao kwenye ligi ni ya 7...Hao Waarabu wenyewe nafasi yao kwenye ligi ni ya 7,hawa jamaa ni 1,ingekuwa vipi wangekutana na wale jamaa walioko 1 au 2.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-90661105121102544112010-05-10T14:19:37.375+03:002010-05-10T14:19:37.375+03:00WALE WANAO WAJULIA WAARABU IMEKUWAJE JAMANI.HATA W...WALE WANAO WAJULIA WAARABU IMEKUWAJE JAMANI.HATA WALE WANAO PITA HUMU NA VIKASHIFA VYAO SASA KIMYAAAA. TUNAWASUBIRI NA LUGHA ZENU CHAFU.<br />5-1HABARI NDIO HIIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-59377820898343128872010-05-10T13:33:47.752+03:002010-05-10T13:33:47.752+03:00Marehemu TX Moshi William (Mwenyezi Mungu Amrehemu...Marehemu TX Moshi William (Mwenyezi Mungu Amrehemu huko aliko)alikuwa na kibwagizo chake kizuuuri sana ambacho ni <br />" PELEKA PELEKA SASAA KIIIIMYAAAA"<br />Ndio kinachotokea sasa MJI BARIIIDIII hakuna kelele wala matusi.Anonymousnoreply@blogger.com