tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8573791276045205280..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-49631050111987308352007-08-27T09:55:00.000+03:002007-08-27T09:55:00.000+03:00Hawa ndo waweka hazina wanaotakiwa ktk Klabu kama ...Hawa ndo waweka hazina wanaotakiwa ktk Klabu kama Yanga. Sio wale wenye njaa ya kujishibisha kwa hema za milangoni.<BR/><BR/>Hongera Yanga. Ila utafutwe utaratibu wa kuwahusisha wapenzi wote wa Yanga ktk maendeleo ya klabu yao. Mtu mmoja hata kama ni Manji hawezi kufanya kila kitu peke yake.<BR/><BR/>Nimependa ubunifu wa watani zetu na ile draw yao ya tIgO. Nasi tunaweza kutafuta kitu cha kuwahisisha wapenzi kuchangia klabu. Mfano, ukiwekwa utaratibu kuwa kila tawi la Yanga lichangie sh. million 2 ktk ujenzi wa uwanja mwaka huu. Wanachama na wapenzi wanaweza kujitahidi kukusanya hizi fedha, mradi kuwe na accountability na matumizi yake yawekwe wazi.Anonymousnoreply@blogger.com