tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8592163957083603299..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-5195736822091650592008-02-19T17:22:00.000+03:002008-02-19T17:22:00.000+03:00Jamani tugange yajayo sasa. Timu iwekwe kambini, t...Jamani tugange yajayo sasa. Timu iwekwe kambini, tujiandae kwa mchezo ujao. Maneo na shutuma nyingi havisaidii mwisho wa siku.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-73912294755247678192008-02-19T15:51:00.000+03:002008-02-19T15:51:00.000+03:00Sio tuhuma ni ukweli.Tena kutoroka huko kulisaidiw...Sio tuhuma ni ukweli.Tena kutoroka huko kulisaidiwa na Ken Mkapa kama meneja.Kocha kasema sana hakuna anayesikiliza.Timu ilishindwa kucheza kwenye mvua kwa kukosa stamina.Kipindi cha pili wachezaji walikuwa hoi sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-69125312529157849562008-02-18T14:24:00.000+03:002008-02-18T14:24:00.000+03:00Ingawa yanga itashinda katika mechi ya marudiano, ...Ingawa yanga itashinda katika mechi ya marudiano, matokeo ya madagaska yanaweza kuwa yamechangiwa na `lack of seriousness`miongoni mwa wachezaji wetu.Kama tuhuma za Kocha kuwa baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Polis dom, wachezaji walikwenda disko,wakati wanaelewa kuna mechi ya kimataifa mbele yao-hatutafika mbali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-17206435846335121792008-02-18T13:36:00.000+03:002008-02-18T13:36:00.000+03:00Sio matokeo mabaya, Yanga inao uwezo wa kushinda n...Sio matokeo mabaya, Yanga inao uwezo wa kushinda nyumbani 2-0 au 3-1 na kusonga mbele, ili mradi ipate ushindi wene tofauti ya magoli mawili mfano 4-2.<BR/>Vinginevyo wachezaji wajiandae kupiga penalti endapo matokeo yatakuwa 1-0.Anonymousnoreply@blogger.com