tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8761500134663862316..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger31125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-16804764519335644332008-12-21T18:50:00.000+03:002008-12-21T18:50:00.000+03:00Hakuna timu isiyofungika duniani hata iwe na masta...Hakuna timu isiyofungika duniani hata iwe na mastaa wote. Wewe anony wa 3:32:00 vurugu unazoiombea Yanga zikujie wewe mwenyewe. Ushindwe na ulegee.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-3960184313099741102008-12-21T15:44:00.000+03:002008-12-21T15:44:00.000+03:00mdau hapo juu umesahau kumalizia na neno "WIZI MTU...mdau hapo juu umesahau kumalizia na neno "WIZI MTUPU"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-91334655663052483572008-12-21T15:32:00.000+03:002008-12-21T15:32:00.000+03:00hakuna jipya yanga zaidi ya majigambo ya kijinga t...hakuna jipya yanga zaidi ya majigambo ya kijinga timu yenye wachezaji bora wote wa ukanda huu bado longolongo ,hata ukiwa na akili timamu utagundua timu hata ktk ligi ilikua bomu na ushindi wa kubahatisha tu,timu ya milion 900 ,mnapoteza pesa kusajiri wakenya alafu awachezi uongozi bomu linalosubili kulipuka ,nina wasiwasi na uanasheria wa m/kiti kama si wa kununua ,mwanasheria gani hajui sheria huyo?timu iko mwaka mzima pamoja kukosa wachezaji kwa week moja si kigezo,mfumo wa uchezaji ni uleule na mazoezi walipata kule nation timu, ondoa kocha na uongozi wote pambavu kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-91773132965133802382008-12-21T14:01:00.000+03:002008-12-21T14:01:00.000+03:00Matokeo ya shillingi vipi??CM tunaomba jibu.Matokeo ya shillingi vipi??CM tunaomba jibu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-71293114069674412942008-12-21T11:24:00.001+03:002008-12-21T11:24:00.001+03:00si nasikia shiling itarushwa leo.sasa iweje yanga ...si nasikia shiling itarushwa leo.
sasa iweje yanga katolewa?
Hebu tufahamisheni..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-29904399839522482112008-12-21T11:24:00.000+03:002008-12-21T11:24:00.000+03:00si nasikia shiling itarushwa leo.sasa iweje yanga ...si nasikia shiling itarushwa leo.
sasa iweje yanga katolewa?
Hebu tufahamisheni..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-76523336398693085752008-12-21T07:57:00.000+03:002008-12-21T07:57:00.000+03:00Hao wanaolaumu Mwenyekiti na Manji, kwani mwenyeki...Hao wanaolaumu Mwenyekiti na Manji, kwani mwenyekiti anacheza namba ngapi? Kama kuna timu isiyo na uongozi basi ni 'hiyo ya kwako' ambayo kila baada ya miezi miwili inakuwa na kocha mpya.

Yanga ikitolewa si sababu ya uongozi au kocha, ni kwamba wachezaji hawakuwa pamoja kwenye maandalizi ya haya mashindano.

Na huyo anayekereketwa na Manji ahamie kwake akaole** nay maana inaonekana huwezi kuchangia kitu hapa bila kumtaja!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-52091113534497941482008-12-21T02:36:00.000+03:002008-12-21T02:36:00.000+03:00au mlikuwa mnawaogopa simba???au mlikuwa mnawaogopa simba???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-74551350567967430362008-12-21T02:08:00.000+03:002008-12-21T02:08:00.000+03:00Manji hayupo Yanga tena, wewe hujui hiloManji hayupo Yanga tena, wewe hujui hiloAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-69721360493453814092008-12-21T01:53:00.000+03:002008-12-21T01:53:00.000+03:00acheni kuuliza wachezaji walikuwa nani...mpira ume...acheni kuuliza wachezaji walikuwa nani...mpira umekwisha, tushalala hakuna mwenyekiti wala nani..ujinga tuuu..nae huyo Manji kalala...upuzi tuuuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-63891687057091074962008-12-21T00:55:00.000+03:002008-12-21T00:55:00.000+03:00Yanga wamejifungisha wasicheze na simba. Mtibwa na...Yanga wamejifungisha wasicheze na simba. Mtibwa nayo timu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-9879918791062750472008-12-21T00:54:00.000+03:002008-12-21T00:54:00.000+03:00si niliwaambia hatuko tayari kwa hili kombe tujito...si niliwaambia hatuko tayari kwa hili kombe tujitoe mkanibishia aibu tu tumeambulia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-86795588708966485032008-12-20T20:22:00.001+03:002008-12-20T20:22:00.001+03:00wachezaji walikuwa akina nani?wachezaji walikuwa akina nani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-39631051272781637042008-12-20T20:22:00.000+03:002008-12-20T20:22:00.000+03:00Shillingi imerushwa tumetolewa.Shillingi imerushwa tumetolewa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-15448556951347479122008-12-20T19:48:00.000+03:002008-12-20T19:48:00.000+03:00Wamepitaje wakati timu zote zina matokeo sawa? Ach...Wamepitaje wakati timu zote zina matokeo sawa? Acheni wivu wenu...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-42784405235362437192008-12-20T19:35:00.000+03:002008-12-20T19:35:00.000+03:00Mtibwa na Uganda wamepita, hamna timu hapo, hatuna...Mtibwa na Uganda wamepita, hamna timu hapo, hatuna Mwenyekiti paleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-47795486544513911212008-12-20T19:24:00.000+03:002008-12-20T19:24:00.000+03:00mkiambiwa yanga inaongozwa kienyeji mnasema wivu ,...mkiambiwa yanga inaongozwa kienyeji mnasema wivu ,mwenye akili na aelewe ila ukiwa bisha bishana sawa,habari ndo hiyo!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-19675912513612952732008-12-20T18:54:00.000+03:002008-12-20T18:54:00.000+03:00Yanga out...... hayo ndiyo matokeo.... hakuna timu...Yanga out...... hayo ndiyo matokeo.... hakuna timu hapoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-72667293117268447872008-12-20T18:14:00.000+03:002008-12-20T18:14:00.000+03:00Mpira umekwisha kwa kipigo cha 1-0. Timu 2 zitakaz...Mpira umekwisha kwa kipigo cha 1-0. Timu 2 zitakazofuzu kutoka kundi A zitajulikana baada ya kupigiwa kura kesho.

CMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-41115326654000253412008-12-20T18:13:00.000+03:002008-12-20T18:13:00.000+03:00Inarushwa shillingi.Tumelala 1-0.Inarushwa shillingi.Tumelala 1-0.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-32715106748380653502008-12-20T17:48:00.000+03:002008-12-20T17:48:00.000+03:00normally huwa wanapanga team alpabebtically kwa ma...normally huwa wanapanga team alpabebtically kwa mantiki hiyo tutayaaga mashindando...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-50313522195062875362008-12-20T17:25:00.000+03:002008-12-20T17:25:00.000+03:00Tuahitaji angalau sare. Tukifungwa 0-1, timu zote ...Tuahitaji angalau sare. Tukifungwa 0-1, timu zote zitakuwa sawa kwa point na magoli ya kufungwa na kufunga, sasa sijui waandaaji watumia kanuni gani kupata timu 2 za kuendelea.

Tukifungwa zaidi ya goli moja, tutakuwa tumetolewa kwa goal difference!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-64756443378947822302008-12-20T17:16:00.000+03:002008-12-20T17:16:00.000+03:00lakini hata tukifungwa si tumeshaingia nusu fainal...lakini hata tukifungwa si tumeshaingia nusu fainali au laaa...vipi line up leo???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-18775763233563334332008-12-20T17:05:00.000+03:002008-12-20T17:05:00.000+03:00HT: Bado 0-1HT: Bado 0-1Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-8923957049682442502008-12-20T16:58:00.000+03:002008-12-20T16:58:00.000+03:00Hilo bao bado halijarudi tu?Hilo bao bado halijarudi tu?Anonymousnoreply@blogger.com