tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post8992666120362750341..comments2023-11-05T15:42:14.351+03:00Comments on Dar Young Africans: Unknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-85867073406194519472009-11-27T13:31:03.992+03:002009-11-27T13:31:03.992+03:00Mtoto wa JK ndani ya kamati ya uchaguzi wa Yanga
...Mtoto wa JK ndani ya kamati ya uchaguzi wa Yanga

KLABU ya Yanga imetangaza kamati ya watu watano akiwemo mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete, ambao jukumu lao litakuwa kuratibu zoezi la uchaguzi wake unaotarajiwa kufanyika januari 3 hapo mwakani.

Kizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya klabu hiyo jana, Mwenyekiti wa Yanga , Iman Madega alisema kamati hiyo itaongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Jaji Mstaafu John Mkwawa.

Ukiacha Ridhiwan, Mkwawa ambaye katika uongozi wa Shirikisho la Soka nchini (TFF) awamu ya kwanza alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa atashirikiana na wajumbe wengne Ysuph Mzimba, mwanahabari mwandamizi Angetile Osiah na Philemon Ntahilaja.

“Kamati inaanza kufanya kazi kuanzia leo (jana),” alisema Madega na kuongeza kuwa kamati hiyo itatoa utaratimu mzima wa zoezi hilo kadili muda unavyokwenda.

Madega aliogeza kuwa kamati hiyo pia itashirikiana na kamati ya TFF inayoratibu masuala ya uchaguzi.

Pia katika zoezi hilo la uchaguzi linalosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa klabu ya Yanga, kutakuwa na mdahalo rasmi kwa wagombea utakaoandaliwa na kurushwa moja kwa moja na vyombo vya habari hapa nchini ili kuwapa fursa kunadi sera zao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-38875099.post-90423306837223103282009-11-26T09:44:03.895+03:002009-11-26T09:44:03.895+03:00Yanga ninawapenda sana, ila nawaomba mbadilishe ra...Yanga ninawapenda sana, ila nawaomba mbadilishe rangi ya maandishi. Kwenye kurasa nyeupe rangi yetu ya njano, mtandaoni maneno hayaonekani kabisa. Tumieni japo rangi ya kijani badala ya rangi ya njano.

Ni matumaini yangu kuwa maoni yangu mtayafanyia kazi. Ahsanteni sana.

This Is Black=BlackmannenAnonymousnoreply@blogger.com