Wednesday, May 28, 2008

Moto umewaka Jangwani

Hizi habari za migogoro huwa sipendi sana kuzibandika hapa lakini kwa faida ya wale wanaotaka kufahamu tu tafadhali soma hapa.

Pia habari hizo unaweza kuzipata hapa.

Kazi kwenu.

3 comments:

Anonymous said...

jee kweli tutafika na viongozi wababaishaji?

Anonymous said...

Tatizo kubwa ni mfumo mzima wa klabu. Tumerithi mfumo wa toka mwana 1926 wakati klabu inaanza na hadi leo ni huo huo.

Hivi hadi leo mweka hazina wa klabu kubwa kama Yanga hana CPA (wala sio mhasimu) unategemea nini zaidi ya migogoro?

Tunahitaji kubadili mfumo mzima wa uendeshaji wa klabu. Masuala ya kitalaamu yafanywe na watalaamu, na yale ya kishabiki wafanye mashabiki.

Katibu wa Klabu, Mweka Hazina na Katibu mipango wanatakiwa kuwa na taaluma za Sheria, Uhasibu, Uchumi na Uongozi, tena na uzoefu wa kufanya kazi. Ingewezekana waajiriwe kwa mikataba maalumu.

Bila hivyo kila siku tutakuwa na vikao vya kumtimua huyu na kumrudisha yule, majungu hadi kesho kutwa!

Zack!