Monday, July 14, 2008

Kagame Cup
Kundi A
Benadir vs Vital'O 2-1

15 comments:

Anonymous said...

VIPI HUKO MAMBO?

Anonymous said...

Mechi ya Miembeni na APR iliyokuwa ipigwe leo sasa itapigwa kesho saa 8 mchana kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani.

Anonymous said...

asante .

Anonymous said...

Mechi imeisha APR 1 Miembeni 2.
Njia nyeupe kwa Yanga sasa

Anonymous said...

Njia nyeupe???Mtakoma ingizeni pua .Miembeni tuna hamu sana na nyie na mdomo wenu.Mlipotoka sare na APR ikawa kama mmekuwa mabingwa.Madega wenu akatangaza ubingwa.Tutawapiga bao tu kelele zenu zimezidi.

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Pascal W said...

WAZEE BREAKING NEEEEEEEEEEEWS!

Miembeni imeitungua APR 2-1

kwa mtani huko mambo yanazidi kupandana kwani Leo Vital'O imeifunga Tusker 3-0

Sisi tunahitaji droo au kumfunga Miembeni nadhani mambo yatakuwa mazuri mwaka wetu huu

Anonymous said...

Nyie Simba sasa naona mmekuwa Miembeni rudini msimbazi ... miembeni ngoma ya mtoto haikeshi Njia ni nyeupeeeeeeeeeeeeeeeee 500% Yanga IMARA

Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Anonymous said...

Andikeni habari za timu yenu pekee.Ni ushamba mkubwa kukataa kukosolewa.Kama mnatka ndio mezee basi endeleeni kuandika upuuzi wenu lakini andikeni kuhusu timu yenu tu.

Anonymous said...

Nakuunga mkono ni lazima tuwe wazi kukosolewa na kutaniwa kama sisi tunatania.Mimi ni Yanga lakini siungi mkono censur.Kama mtu unaona huwezi kuvumilia madongo angalia blog za wenzetu na hata nje ya nchi ndio mahali pa kutupiana madongo.Tuache nidhamu ya uoga na tuwe tayari kukosolewa inapobidi.

CM said...

Hakuna asiyependa kukosolewa lakini lugha ya matusi inapotumika, si jambo la busara kuendelea kukaa kimya tu. Blog hii inasomwa na watu wengi hivyo tuwe na utani wa kistaarabu au vipi wadau?

Kwa mfano comments za anon wa 5 hapo juu ni za kukosoa lakini kwa vile hakuna lugha ya matusi iliyotumika inakuwa inajenga.

Anonymous said...

Nakubaliana. Asiweza kukosoa (critisize) bila matusi akaanzishe blog yake. Tunataka +ve criticism hapa, sio uhuni.

Vipi watani wametoka vipi leo?