Ni kweli kundi la Yanga zimefuzu zote kwa sababu ilitakiwa timu moja ili ziwe nane kwani zingekuwa saba. Kwa hiyo kundi B na C walipewa nafasi ya best looser. Kwa hiyo APR ndio walipata nafasi ya best looser na Awasa wakawa wametoka. Kumbe APR ameingia kama best looser toka kundi lake.
7 comments:
mbona timu zetu zimepangwa michezo ya saa nane ?nauliza tuu.
Vital'O OYEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo tarehe ya Rayon - ni 23/7 au 22/07
Nashukuru kwa umakini wako anon hapo juu.
Ni kweli game ya Rayon vs Tusker itapigwa tarehe 23/07/2008 na si 22/07/2008 kama nilivyokuwa nimeandika hapo awali.
inaonekana timu zote kundi C zimefuzu eti?
nahisi sababu ni kutafuta timu 2 za ziada, maana zingekuwa 6 tu robo fainali au vipi cm?
kwa hiyo wakatafuta washindi wawili bora waliopata nafasi ya 3 kutoka makundi yote!
naomba ufafanuzi kwa aliye na habari za uhakika.
-mpenzi wa Yanga; Berks, UK.
Ni kweli kundi la Yanga zimefuzu zote kwa sababu ilitakiwa timu moja ili ziwe nane kwani zingekuwa saba. Kwa hiyo kundi B na C walipewa nafasi ya best looser. Kwa hiyo APR ndio walipata nafasi ya best looser na Awasa wakawa wametoka. Kumbe APR ameingia kama best looser toka kundi lake.
masebe... APR = best looser? au tuseme ni worst looser!
Post a Comment