Friday, July 25, 2008

Kumradhi wadau

Wapenzi wasomaji wa blog hii samahani sana kwa kushindwa kuweka post mpya kwa ajili ya game yetu dhidi ya Tusker, hii inatokana na matatizo ya kiufundi ambayo blog hii inakumbana nayo.

Hata hivyo natumaini mlipata coverage kwa wakati muafaka licha ya kutumia ile post ya Simba vs URA.

Najitahidi kutatua matatizo hayo ya kiufundi ili mambo yaende sawa ndani ya blog hii. Hapa nimetumia computer nyingine ndiyo naona mambo yametulia.

Alamsiki