Sunday, July 27, 2008

KAGAME CUP FINAL

TUSKER BINGWA

Tusker FC wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Kagame baada ya kuifunga URA kutoka Uganda kwa 2-1.

Tusker iliibuka katika dakika za mwisho kuweza kusawazisha kupitia kwa John Shikokoti na kufunga bao la pili katika dakika ya 88 kupitia kwa Oscar Kadenge.

Kwa ushindi huo Tusker FC imejinyakulia dola za Kimarekani 30,000.

Nawashukuru wote kwa ushirikiano wenu katika michuano hii ya Kagame.

No comments: