Ndio watambue kwamba mafanikio hayaji kwa longolongo za kuchinja jogoo balikwa malengo thabiti.WATAJUA SASA KWAMBA,KUMBE HATA MLENDA NAO NI MBOGA. TUNASHUKURU KWA KUANZA KUTUONYESHA MSIMAMO WA LIGI KAMA ZAMANI.
Jamani tusishabikie hayo mambo ya msimbazi..tujipange maana kumbukumbu zinaonyesha kabla ya kucheza na mnyama huwa wanayo migogoro na uwanjani wanatuchapa mabao...
subirini kichapo nyie mapimbi ,maneno mengi tigo tunakula kiulaini ,safari hii kupunguza maumivu njooni na mafuta ya leizi kabisa ,mgongowazi[yeboyebo] nyie kichapo jadi yenu.
6 comments:
Wajamen, mmesikia Msimbazi mambo yalivyo?
MSIMBAZI WANAKUFA SASA NA TIMU NDOOINASHUKA DARAJA SASA SAFARI HII TUNATAKA TUWAFUNGE 7 HAO
Ndio watambue kwamba mafanikio hayaji kwa longolongo za kuchinja jogoo balikwa malengo thabiti.WATAJUA SASA KWAMBA,KUMBE HATA MLENDA NAO NI MBOGA.
TUNASHUKURU KWA KUANZA KUTUONYESHA MSIMAMO WA LIGI KAMA ZAMANI.
nafikiri hao walichinja jogoo aliye kufa kwenye mnada ,ndio wakamleta mkutanoni,la sivyo isinge kua hivi ...iam just joking.

Post a Comment