Vigogo kukamilisha duru la kwanza leo
Duru la kwanza la ligi kuu ya Vodacom linatarajiwa kukamilika weekend hii kwa mechi zipatazo sita kupigwa.Mechi za leo:
Polisi Moro vs Yanga..........0-0
Simba vs Moro United...0-0
Prisons vs Toto Africa....2-0
Kagera Sugar vs Polisi Dom....0-0
Mechi za kesho:
Villa Squad vs JKT Ruvu......2-2
Mtibwa Sugar vs Azam FC....0-1
Mzunguko wa pili unatarajiwa kuanza kupigwa mwezi Februari mwakani.
9 comments:
Ni mapumziko huko Moro na Dar es Salaam kote ni 0-0.
Huko Mbeya Prisons 2 Toto Africa 0
vipi tumelala?
tuliza roho
vp matokeo ya mwisho ndo hayo 0-0? Hao kina Alfonso huwa wanaikamia Yanga TO EEH!!!
Matokeo yapo katika main page
timu ilikuwaje?
Timu
1.Obren
2.Nsajigwa
3.Mtiro
4.Canavaro
5.Hamis Yusuf/Kigi Makasi
6.Owino
7.Ngasa
8.Geofrey Bon
9.Sunguti
10. Tegete/Mwaikimba
11.Athuman Idd/Shamte
Kaka CM tupe msimamo kamili wa ligi.
Post a Comment