Thursday, December 04, 2008

Tusker Challenge Cup 2008

Yanga katika kundi A
Mabingwa watetezi wa kombe la Tusker - Yanga imepangwa katika kundi A pamoja na timu za URA ya Uganda na Mtibwa Sugar ya Turiani (TZ).

Mabingwa wa zamani wa michuano hiyo, Simba wapo katika kundi B pamoja na timu za Prisons ya Mbeya (TZ) na Tusker ya Kenya.

Ratiba kamili ya michuano hiyo ambayo bingwa wake atajinyakulia kitita cha shilingi milioni 40 ni kama ifuatavyo:

Desemba 15: URA vs Mtibwa Sugar (Kundi A)
Desemba 16: Prisons vs Tusker (Kundi B)
Desemba 17: Yanga vs URA (Kundi A)
Desemba 18: Simba vs Prisons (Kundi B)
Desemba 20: Yanga vs Mtibwa Sugar (Kundi A)
Desemba 21: Simba vs Tusker (Kundi B)
Desemba 23: Nusu Fainali (1A vs 2B)
Desemba 24: Nusu Fainali (1B vs 2A)
Desemba 26: Kutafuta mshindi wa Tatu na Nne
Desemba 27: Fainali

Michezo hiyo inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Taifa wa zamani.

2 comments:

Anonymous said...

ratiba mbaya wangetupanga kundi moja na simba tuwafundishe adabu.

poker said...

PROMO DELIMA
poker online terpercaya | poker online | Agen Domino | Agen Poker | Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | Judi online terpercaya | bandar qiu | situs judi online

Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat. Come join and be a winer with us !!

Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: delimapoker
Phone number_: +85595678845
pendaftaran___