CECAFA Challenge Cup
Kilimanjaro Stars imefanikiwa kuvuka kuingia hatua ya Nusu Fainali licha ya kuchapwa 1-2 na Uganda Cranes.
Stars imevuka baada ya kuwa na tofauti nzuri ya magoli ukilinganisha na Rwanda.
Mechi za Kilimanjaro Stars: 0-1 (Somalia), 2-1 (Zanzibar), 2-0 (Rwanda), 1-2 (Uganda)
Mechi za Rwanda: 0-4 (Uganda), 3-0 (Somalia), 0-2(T'Bara), 3-0(Zanzibar)
Kwa mechi hizo hapo juu:
Kilimanjaro ina Point 6; magoli ya kufunga 5, ya kufungwa 4 ...Goal Difference ( 5-4 ) = 1
Rwanda ina pointi 6; magoli ya kufunga 6, magoli ya kufungwa 6....Goal Difference (6-6) = 0
5 comments:
matokeo bado yale yale
LEO KAZI IPO TZ HIYO NI KAMA FAINALI
ukisha mpira kwa matokeo hayo bado tunayo nafasi ya kuendelea iwapo mechi ya pili drew
Kenya 2 Tz 0. Dakika ya 20
Tumepata bao dk 77. Mfungaji Danny Mrwanda. Tupo nyuma 2-1
Post a Comment