Sunday, March 15, 2009

Al Ahly vs Yanga

Muda mfupi ujao Yanga itajitupa uwanjani huko Cairo Misri kupambana na Al Ahly ya huko katika pambano la Ligi ya Mabingwa Afrika.

29 comments:

Anonymous said...

tunaomba utupe habari jinsi game itakavyokwenda,
kila la kheri ktk mechi ya leo

Anonymous said...

ahly wanaongoza kwa goli moja ktk dk ya kwanza tupo ktk dk ya 9 mpira ni mzuri

Anonymous said...

tushaondoka ahly wamepata goli la pili mfungaji flavio dk ya 20

Anonymous said...

oyaaaa

Anonymous said...

ushanyukwa nyingi tu

Anonymous said...

mpira ni mapumziko sasa tumelala 2-0.

Anonymous said...

Hah! hah! Bora ubora wa timu umefahamika maana watu walianza kujiona sana baada ya kuwatoa waComoro. Na bado wakija Dar mtakiona tena

Anonymous said...

ebwana nasikia goli ni 3-0 Yanga imetuangusha sana.

Anonymous said...

sasa ni 5 -0 jamani

Anonymous said...

Mpira umekwisha Full time score ni 3-0, vijana wamejitahidi sana hasa dakika 15 za mwisho tumekosa kama nafasi tatu za wazi Ambani alibaki na kipa hatua nne akakosa bao. Jamaa wanafungika hawa tunawasubiri dar kwa hamu tuwanyoe 4-0 wamanga hawa

Anonymous said...

we hizo tano umezitowa wapi? mpira umeisha 3-0 na vijana wamecheza,na mpira una sehemu tatu kushinda kushindwa au drew hilo ulielewe iwapo ni mwanamichezo, lakini kumbuka pia mwakani bado yanga ni bingwa tanzania tutawawakilsha tena we ulie tu

Anonymous said...

huyu jamaa mchawi sana,yaani alikuwa anaota kama tutafungwa 5-0,mjomba huu ni mpira tu just starehe,yaani unachinyika moyo hata unataka hawa yanga wote wafe ili wabakie simba, kufungwa 3-0 ni kawaida tu, madrid kapigwa 4-0 timu tajiri duniani,manchester karamba 1-4,sporting lisbon jumla 12-1,sasa ngojea wewe uchukue ubingwa basi mwakani ucheze champions league,nyinyi si bora zaidi munaujua mpira,kwataarifa yako hata nafasi ya pili mutaiota
mchawi mkubwa wewe,

Anonymous said...

Wamebana wameachia tatu bila wamebana wameachia tatu bila tatu bila.

Anonymous said...

Kwi Kwi Kwi!! Mlidhani hao ni waComoro? Kelele nyiiingi baada ya kuwangua waComro sasa ngojeni watemi wenu watue Jijini wamalizie kazi mbele yenu halafu mseme refa kawabeba. Ebo nyie ni wataalamu wa mechi za mchangani tu za kimataifa hauwezi kitu. Poleni jamani lakini ndio mpria huo

Anonymous said...

Mji leo kimyaaaaaaaaaaaaa.Wacomoro wametunguliwa tatu bila.Wangetoa hata droo mgongo wazi tusingelala.Bado Dar.

Anonymous said...

Nyie wauza ndalali nini hapo juu? Kufungwa, kufunga na sare ni sehemu ya matokeo. We are down but not out. Kama wao wamefunga goli tatu kwao na sisi hatushindwi kufunga tatu kwetu ngoma ikawa droo. Nusu saa ya mwisho imeonesha kama wachezaji wangetulia mwanzoni, hawa jamaa tungeweza kutoka nao sare na hata kuwafunga.

Kwanza nyie sio saizi yetu, hebu kapigiane makelele na kina Toto Africa kuwania nafasi ya tatu, sisi hata mwakani mashindano haya ni yetu.

Anonymous said...

Mkafanye nini??Kuwapanulia waarabu ndio kazi yenu.Mwaka kesho na Ahly tena.Eti mtawafunga Dar ndoto za mwenda wazimu.Tatu bila wamebana wameachia ohh tatu bila tatu bila.

Anonymous said...

tulijua toka zamani na mpira wenu wa magazeti,na fitina,subirini mpigwe tena dar mtulie kabisa ,magazeti yanawamaliza nyie MGONGO WAZI,kila siku mnaandikiwa AHLY inavulunda kwao nyie kicheko mmeyaona sasa? ila yanga chiboko makocha watatu wazungu na kipa mzungu hongereni,mpira uwezo si majungu ,ciao.

Anonymous said...

Jamani nendeni kwenye web site Al Ahly mtaona jinsi magoli yalivyofungwa. Beki yetu namba nne alikuwa anavuja ile mbaya na magoli yote yameanzia wingi ya kulia ya which means beki wetu wa kushoto alilemewa saana

Anonymous said...

Hivi unafikiri Yanga tutaweza kweli kuwabanjua hawa jamaa 4 Dar? Maana mpira nilivyouna jamaa wako fit kwakweli ingawa na wao ni binadamu ila uzoefu wao ndo silaha yao kubwa.Ukifanya kosa wenyewe wanabadili kosa kuwa advantage kwao.Lets wait mechi ya Dar.

Anonymous said...

Nyinyi Yanga bwana, mlidhani mtawafunga waarabu? hawa siyo Comoro bwana, haya ngojeni mwakani tena,

Anonymous said...

eeh watanzania sio yanga tu, mkae mkijuwa hatuna tim hata moja ya maana tuache kujidanganya mpira wetu nisawa nawatoto washule labda baada ya miaka 200 tunaweza kucheza kama watu,kwa miaka hii tusahau kumfunga mtu. ujinga wa wachezaji wetu wanakuwa wanyonge ugenini tunawaona jana wamecheza mpira mbovu tena ni aibu kusema hii tim ni bingwa wa tanzania ni upuuzi mtupu

Anonymous said...

Mnyama vipi leo huko katoka kwa Moro United? Maana wanachonga tu wakati hata nafasi ya pili hawana uhakika nayo. Wanaoshangaa Yanga kufungwa ni wapuuzi, kama Madrid na Man utd wamefungwa itakua Yanga!!!

Anonymous said...

Siyo kushangaa bwana, ila mlikuwa mnatamba sana kuwa mtashinda...warabu kiboko yao ni mnyama tuu...waulize Zamalek watakuambia...

Anonymous said...

magoli ya penalti mnaweka shahidi wa kuulizwa kuweni mabingwa muwatafute zamalek mnasherehekea ushindi wa ahly mgosi ndio alifunga magoli kumbuka yanga ni ya tanzania na ahliy ya misri nyie mlie tuu mwakani bado wawakilishi yanga labda 2015 ndi mpate bahati ya kuwakilisha taifa

Anonymous said...

mahodari wa kuchonga fungueni blog yenu badala ya kujipenyeza kuwatia watu kichefuchefu humu

Anonymous said...

Mimi sio Simba.Mlichonga sana ndio maana mnachekwa.Kuwafunga wacomoro ikawa taabu.Kila kona kila gazeti tambo zenu ndio maana mnaanza visingizio.Mpira wa mdomoni wacheni na tambo.Ngasa na Ambani walitamba sana na jana hawakuonekna kabisa.Afadhali Nurdin.Kocha Kondic ameshatupa taulo kwa kutambua ukweli.Hamna ubavu wa kushindana na Ahly.

Anonymous said...

yanga kaenda misri, simba hata moro pamemshinda sasa kelele za nini? nyie pangeni mikakati ili muwakilishe taifa 2011 badala ya kujiingiza kwenye blogu hii. Ingekuwa watu wanatambia mafanikio ya miaka kumi ilopita hata brazil angejitoa world cup. simba sahauni kucheza kombe kubwa kwa sababu ligi ya nyumbani bado inawatoka kinyesi.

Anonymous said...

Yanga bwana, maneneo meeeengi vitendo zero kabisa. Eti dakika 30 za mwisho tuliwabana, sasa nyie mnakumbuka shuka asubuhi???? karibuni nyumbani kaka mjiandae kwa kipigo cha pili