Saturday, April 04, 2009

Hatuwawezi!
Licha ya kupewa sapoti na maelfu ya wana Yanga, leo mambo yamekuwa si mambo baada ya bao liliofungwa katika dakika ya 8 na Flavio kuipa Al Ahly ushindi wa bao 1-0.

Yanga sasa imetolewa kwa jumla ya 4-0.

Kwa kifupi uwezo wetu ni mdogo lazima tukiri.

Pichani juu, bro Michuzi (mwenye mikoba nyuma ya mshika kibendera) akishuhudia mtanange wa leo akiwa ametinga 'ze fulanaz'

17 comments:

Anonymous said...

Teh, teh, teh, Yanga ni sawa na bichwa la mwendawazimu! Talalila nyiiiing!

Anonymous said...

ofcause kama tungeliwatoa Al Ahly tungelikuwa na uwezo wa kuwa bigwa wa africa,kwani ahly ni timu bora yenye uzoefu,tayari wamecheza na timu kubwa za ulaya ktk kombe la dunia la vilabu,kwahio sio mbaya,ila tunatakiwa kusoma makosa na kuendelea mbele,tutakuwa na timu nzuri siku za mbele

Anonymous said...

ahli ni timu kubwa,ambayo inaongozwa sawa na kama vile vilabu vya ulaya,wana kila mchezo ktk club yao,wana tv yao,sisi hata website bado hatuna,waliwahi kuwaita akina barcelona kwenda cairo kucheza nao friendly match ambapo wakati huo bacelona ilikuwa ni timu bora duniani,na waliwapatia euro 2 mil cash,usafiri bure,na huduma zote juu yao,kwahio ahli ni club tajiri africa,na wanawachezaji wa uhakika,na wanawalipa kiuhakika,kwahio sio mbaya kwetu kutolewa na timu kama hio,goal tulizofungwa ni goli za mchezo tu sio za kutisha,uwezo wetu bado mdogo kwao,tunahitaji kjifunza na kujipanga tena zaidi

Anonymous said...

bayern munich jana kachapya goli 5-1 na timu ndogo ya wolfsburg ktk bundesliga,pia Poland ktk kampeni ya kuingia world cup amemchapa san marino wiki iliyopita goli 10-0,hayo ni matoko mabaya ktk soka,lakini 3-0,0-1 ni mchezo tu,real madrid kapigwa na liverpool 0-1 nyumbani na 4-0 ugenini, hayo ni ktk matokeo mabaya kwa timu kama ya real madrid, sisi inaonekana hivi sasa tunajilazimisha tucheze mpira,na wapenzi wapo tayari kuwapa nguvu wachezaji,lakini tuelewe kuwa mpira wetu ndio kwanza ni kama tunaanza sasa hapo nyumbani,miaka ile tulipokuwa na malumbano ktk club za yanga na simba,wenzetu walikuwa wakijipanga na kurekebisha makosa yao, hivi sasa sisi tunataka kuanza kucheza mpira wenzetu tayari wapo mbali kisoka,lakini kama tutaendelea vizuri kwa ushirikiano wetu,tutafikia tu kwani soka yetu imeanza kukua taratibu

Anonymous said...

hakuna lolote mlosema la maana wizi mtupu,club imeanzishwa toka 1936 mnasema ndo tunaanza aiingii kwa kichwa ,mbona kuna timu hapohapo bongo waliwatoa machampion wa africa tena kwa kuwafunga kwao[misri 2004]tatizo la yanga much talk mipango ya kuaandaa timu kushinda hakuna, karne hii eti wazee wanasema kwa mazindiko waliyofanya mwarabu hatoki then mnashangilia kama si pumba nini hiyo soka si uchawi ni sayansi tazameni mbele majigambo yatawaponza milele,mnatia haibu taifa ,MABINGWA WA KUBORONGA NYIE

Anonymous said...

rekebisha kiswahili chako babu.

John Mwaipopo said...

kule kucheza na Al Ahly tu ni fanikio. Hao sio wale vibonde wa wenzetu Zamalek

Anonymous said...

nakubaliana nawewe hao jamaa kweli ni mabigwa wa kuboronga,kuifunga comoro wakajiona wao ni brazil au italy kumbe mpira wao mavi matupu wamisri ilikuwa wakufungeni 2-0 lakini hilo lingine watamaliza simba,tarehe 19 mtakiona kaeni mpake rangi jengo lenu hiyo siyo club bali ni oficce ya ccm

Anonymous said...

chama cha mapinduzi sijui wanapinduwa nini labda haki za watanzania

Masebe said...

Unaweza kufikiri labda kuna kitu cha maana sana simba, maneno mengi kama kasuku. HIVI MMESHASAHAU YALIYO WAKUTA KWA ENYIMBA MWAKA JANA TU.GOLI SABA - MOJA. KWANZA 4-0, MKASEMA MLIONEWA SAANA,WAKAJA HAPA 3-1, HIVI MMESAHAU. JENGO LENU HATA HIYO RANGI YA BUCHA YA KUUZIA NYAMA MMESHINDWA, MTAKUFA NA VIROHO VYENU.YANGA NDIYO HIYOOOOOOOOOOOOOOOOOO. NYINYI SAIZI YENU KINA KAGERA NA MTIBWA,KUDADADEKI ZENU.

Anonymous said...

Klabu ya Simba vinara wa kadi nyekundu Ligi Kuu

Na Vicky Kimaro

WAKATI ligi inafikia ukingoni huku kila timu ikiwa imebakiwa na michezo mitatu mkononi, kadi 427 nyekundu na njano zimetolewa katika michezo 19 iliyochezwa na kila timu.


Mpaka sasa kadi nyekundu zimetolewa 33 huku Simba ikiongoza kwa kuwa na kadi nyekundu nyingi ambazo ni tano wakati kadi zilizotolewa za njano ni 394.


Takwimu zilizotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) zimeonyesha kuwa katika ligi hiyo inayoshirikisha timu 14, timu za Polisi zimeongova kwa mchezo wa mabavu kutokana na ndizo zinaongoza kuwa na kadi nyingi huku Polisi Morogoro ikiwa kinara wa kadi.


Kutokana na ubabe wao uwanjani, Polisi Moro imevuna kadi 43 mpaka hivi sasa ikifuatiwa na wenzao wa Prisons (Mbeya) ambao wana kadi 40 sambamba na Villa Squad ambao pamoja na kushika mkia huku jahazi lao likizama kushuka daraja nayo pia ina kadi 40.


Simba inapigana kikumbo na Kagera Sugar na Polisi Dodoma kwa kuwa na kadi 37, Toto Africa kadi 35, Yanga 32, Azam FC, Moro United wana kadi 31 JKT Ruvu inaonekana kuwa na nidhamu kwa vile ndio timu pekee ina kadi chache ikiwa na nazo

Anonymous said...

smba si mabingwa kadi tu bwana,mbona unabishana na hajinga,baadae kadi zikizidi wanarejea kuwachezesha wachezaji wale wale wenye kadi miaka yote,sio leo hayo mambo ya kadi kwao, wakichukua nafasi ya pili watabebana kuliko sisi tuliochukua ubingwa,hivi sasa wanaongelea ya watu wanajifanya kujisaulisha kama yanga bingwa,ingelikuwa simba ndio bingwa kabla ya michezo kadhaa mkononi,yaani wangelichonga midomo yao mirefu kama nguruwe vile,

Anonymous said...

naona sasa bora mkasaidie kukosha glass za ice cream azama ama kweli mmekwisha,
azam pia inakufungeni tena goli nyingi,mkiambiwa tim yenu mbovu hamtaki,hizo pesa mnaotumia kusafirisha tim si bora mkanunulia vitabu wanafunzi wakasoma?tim imeanzishwa 1936 hakuna hata moja la maana ujinga mtupu, mnatiya aibu bora hiyo club mgeuze baa tuje kulewa,wapumbavu nyie

Anonymous said...

sifa ya nje ya ichi ni simba sio yanga kwani mnajulikana ni tim mbovu,na hata mwakani hamfiki popote na mtaona mjijuwe kama mna tim mbovu, azam imeanzishwa juzi inakufungeni ama kweli wabovu.bado mnasema mna tim,kwahiyo sisi tunahesabu azam kakufunga 5-2 kama si kaseja mngekula hata 7, ndiyo maana hata club mmepewa mjenge jagwani nyie ni sawa na vyura,

Anonymous said...

sisi tunafata nyayo za simba kwani raundi ya kwanza azam walimfunga simba mumeshasahau,jambo lapili hata kama tumefungwa jee mtazifikia point, tunacheza kukamilsha ligi bado shindaneni na nafasi ya pil

Anonymous said...

tim yenu inatiya aibu kuwakilisha watanzania,hamja fika robo fainali hata siku moja nakuwambia mpaka jumba litakuangukieni mtakuwa hapo hapo kaeni kununuwa wachezaji wasio na mpango

Anonymous said...

ama kweli yanga imeisha eti club bigwa ya tanzania, jiangalieni mnavyoingia uwanjani mmevaa kijani na njano, hiyo inatosha kujijulisha kama nyie ni washamba nani leo anafaa kijani na njano kama sio yanga namishamba mingine wanao vaa suti na raba.