Saturday, May 02, 2009

Mchezaji bora wa msimu
Photo from MICHUZI blog

Ukiwa kama mdau/mshabiki wa klabu ya Yanga,katika msimu uliomalizika wiki iliyopita ambapo yanga ilifanikiwa kutetea taji lake la ubingwa wa ligi ya Vodacom, Je ni mchezaji gani ambaye unaona anastahili kuwa mchezaji bora wa msimu?

Tafadhali shiriki katika kutoa maoni yako hapo kulia.