Thursday, September 24, 2009

Chuji apangua adhabu moja lakini........


Kiungo wa Yanga Athuman Iddi "Chuji' ameshida rufaa aliyokatiwa na Yanga ya kufngiwa miezi mitatu kwa kosa la utovu wa nidhamu katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya African Lyon.

Licha ya Chuji kupangua adhabu hiyo, bado ataendelea kutumikia adhabu ya miezi 3 kwa kosa la pili la mchezo dhidi ya Majimaji ya Songea.

Kwa habari zaidi nenda hapa.

1 comment:

Anonymous said...

Sasa mhusika wa blog, naomba contact zako nataka nitume camera walau uwe unatuma na picha basi. Tumia email yangu hii fratibai@yahoo.com