Monday, November 16, 2009

Yanga vs Prisons leo
Yanga leo inajitupa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar kupambana na timu ya Prisons ya Mbeya kwenye mchezo wa mwisho wa duru la kwanza la ligi kuu ya Vodacom.

3 comments:

Anonymous said...

Matokeo vipi?

Anonymous said...

vipi tumekufa tena?

Anonymous said...

tumeshinda 4-2